Kwani kila mganga anajua dawa au suluhisho la kila tatizo mkuu?Itabidi ipite sensa magereza i kujua kuna waganga wangapi waliokwisha fungwa...
Kwanini mkuu kwani uganga si ni ujuzi tu au inahitajika ukae kijijini na uwe mshamba?Waganga wapo ila kuwapata ni nadra sana, sema siku hizi kuna upigaji tu na mganga halisi huwa ajitangazi utamjua kwa kazi zake kupitia watu aliowahudumia na so vinginevyo.
Eti waganga wanaishi mjini mmmh hapana
kwenye issues za kesi mimi nimeshuhudia mara 2 kwa ndugu wa karibu. Mmoja alikuwa bosi wizara ya fedha alisiamishwa kazi kwa ufisadi miaka ileee ya Mkapa,akazama Bagamoyo kesi ikafa kizembe tu. Mwingine enzi za Kikwete walikamatwa wanatorosha mchanga wa dhahabu. Sikujua mganga alipatikana wapi,lakini kesi iliisha kizembe zembe tuKatika maisha huwezi kujua Kila kitu Mkuu. Kwa hiyo usijione unajua yanayotokea Kila mahali. Tumeshuhudia Nyukj wakivamia Mahakama Kila siku kesi Fulani inaposikilizwa na kulazimika kuahirishwa. Uliza watu wa Wanging'ombe Njombe au Nkasi Rukwa Wana visa viwili vinavyofanana.
Acha masihara na Rozali takatifu we jamaa, tena usirudie tena..we endelea kuamini ya kwako mengine yasiyokuhusu achana nayo kabisavichaa wengi ni wezi wa wake za watu na biashara za madawa. hata watu kama huyu anayetamba kwenda kwa waganga huwa wanakosea masharti afu dawa zinawarudi wanakuwa machizi fresh. ndugu ni vigumu sana kukuroga kwasababu ya mirathi,ugomvi mwingi wa mirathi huwa wanaua kabisa hawawezi kukuonea huruma uwe kichaa kwasababu hata ukiwa kichaa bado portion yako ya mirathi itakuwepo, si hujafa. huwa nawashangaa sana hata wanawake wanaongΓ‘ngΓ‘nia mali baada ya waume zao kufariki, hawajui wazazi wa mume walihangaika namna gani kumsomesha na kumfikisha pale alipo. ukiona wazazi wanasema tugawane, we kubali yaishe, endelea na maisha yako, la sivyo huwa wanakudhuru wewe na hata watoto wako (wajukuu zao) mnaweza kupitia garama kubwa ambayo hamkupaswa kuiipitia.
all in all, uchawi dawa yake ni moja tu. Okoka, kimbilia kwa Yesu. ila nakuhakikishia ukijidanganya sijui unasali maria sijui lozari, utakungΓΊtwa na utakufa. Nimethibitisha katika maisha yangu kwamba Uchawi hauwezi kwa watu walio ndani ya Yesu Kristo, hauwezi kabisa na wengi wakiendelea kukufuatilia huwa yanawarudi. Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu. sasa utakuta kuna viwatu havina Mungu na vinategemea uchawi, uchawi na waganga wote wanamfuata shetani aliye baba wa uongo na mitego. unaweza kupigwa chale kwa mganga huyu mwenzako akaenda kwa mganga mkubwa zaidi ukafyatulia. shetani haaminiki, ila Yesu is the only one to be rusted. huu ni ushauri wa bure.
Yule dada aliegombea CCM alishindwa kutamka hata neno Nita, Nita mpaka akakata tamaa.Kuna shahidi alikuwa kila akiulizwa lilipotokea tukio yeye anataja Chanika wakati tukio limetokea tegeta...kila akiulizwa dar es salama unaifahamu vizuri na vitongoji vyake hasa Tegeta na Chanika anaeleza vizuri kabisa lakini akiulizwa unakumbuka tukio lilipotoke yeye anasema Chanika...
Mpuuze huyu analeta masihara na vitu aisivyovijuaDaah kwamba salamu Maria na rozali unakun'gutwa na kufa
Unaushuhuda juu ya hili?
Walokole mnashida sana aisee. Kausha maana utajishushia heshima. Salamu Maria huwa inasaliwa peke yake? Unaujua utaratibu wa kusali Rozali? Uone aibu basi maana kwa kusema hivyo unamaanisha wakatoliki ni watu ambao hawanamafanikio sababu sala zao hazijibiwi wakati matokeo unayajua nawewe pamoja na ulokole wako huwezi simama mbele ya wakatoliki kwenye lolotekama ulishawahi kuomba kwa salamu maria umejaa neema, ukapata majibu yaliyothibitika, nyosha mkono juu. au kama uliwahi kuomba kwa lozari ukapata majibu. tunaomba kwa Jina la Yesu Kristo pekee. mambo ya kuomba kwa maria na lozari pamoja na kwamba yalikuwa introduced baadaye kabisa na watu wanaoabudu kimwili, lakini mlikuja kujidanganya kwa mzimu uliowatoto wa Fatima, kwamba mzimu wa maria uliwatokea ukawaagiza wasali kwa lozari. maria kafa na hana communication na dunia hii, anasubiri kuhukumiwa siku ya mwisho. hicho kilichowatokea hakikuwa na uhusiano na Mungu ni shetani aliendelea kuwadanganya ili muendelee kusali kwa salamu maria na rozali.
mitume wale 12 hata kina Paulo walioanzisha ukristo, hakuna hata mmoja aliwahi kusali salamu maria au hata kumtaja tu. hakuna hata mmoja aliwahi kusali rozali. kama ni msomaji wa Biblia tutajie wapi wale mitume kina Petro Yohana etc waliposali kwa maria au rozali? au kuelekeza wafuasi wa Kikristo kufanya hivyo. hakuna, Yesu Kristo alituagiza tusali kwa kupitia Jina lake, ukiomba Kwa Jina la Yesu utapata majibu. Mungu hakusikilizi kabisa kama hautaomba kwa kupitia Jina la Yesu kwasababu Yesu Kristo ndiye kafara/daraja kati yetu na Mungu baba. huu ndio ukweli mchungu na shukuru Mungu umeusikia. I challenge you, nenda kamwulize padre au askofu yeyote a catholic asema wapi kwenye Biblia kuna kusali kwa maria, kuomba maria atuombee, kusali kwa lozari.
hii ni invention ya watu kimwili kwamba ati kwasababu maria ndio alimzee Yesu basi tumheshimu mama kabla hatujamheshimu mtoto, hamjui kuwa Yesu Kristo alikuwepo kabla ya maria na ibrahimu na Musa na wote? Yesu Kristo ndiye lile Neno lililotumika katika uumbaji tangu enzi na enzi haina mwanzo wala mwisho. kuja duniani kupitia maria ilikuwa ni njia tu ya kufanyika mwili wa kibinadamu ili abebe dhambi za dunia na kulipa gharama ya dhambi kwa mateso makubwa aliyopitia. hata baba wa duniani hapa hakuwepo, yeye alifanyika reincanation (spirit changing wearing human body) kwa kuuvaa mwili wa kibinadamu, ayashinde yote ya dunia, ateswe kwa ajili yetu ili kutukomboa. hata kumwona Mungu tunaokoka kwa kumkiri na kumwamini Yesu Kristo, maria tupa kule.
Kwenye fungu la bajeti inaitwaje, GFS code yake in ipi ya receipts na expenditure?Ma police Nina uhakika wana fungu la kujiweka Sawa!
Walokole mnashida sana aisee. Kausha maana utajishushia heshima. Salamu Maria huwa inasaliwa peke yake? Unaujua utaratibu wa kusali Rozali? Uone aibu basi maana kwa kusema hivyo unamaanisha wakatoliki ni watu ambao hawanamafanikio sababu sala zao hazijibiwi wakati matokeo unayajua nawewe pamoja na ulokole wako huwezi simama mbele ya wakatoliki kwenye lolote
yaani maneno haya yote yamekutoka ukitetea kusali kwa lozari na kuomba kwa wafu na maria? hahaaha.Walokole mnashida sana aisee. Kausha maana utajishushia heshima. Salamu Maria huwa inasaliwa peke yake? Unaujua utaratibu wa kusali Rozali? Uone aibu basi maana kwa kusema hivyo unamaanisha wakatoliki ni watu ambao hawanamafanikio sababu sala zao hazijibiwi wakati matokeo unayajua nawewe pamoja na ulokole wako huwezi simama mbele ya wakatoliki kwenye lolote
rozali ni takatifu? si imetengenezwa kiwandani tu hapo? aisee vipofu ninyi mtafunguka lini? Mungu amewapeni JIna kuu kuliko Majina yoote, Jina la Yesu Kristo, ninyi mnang'ang'ania rozali, wafu, maria...hahahaha.Acha masihara na Rozali takatifu we jamaa, tena usirudie tena..we endelea kuamini ya kwako mengine yasiyokuhusu achana nayo kabisa
Sawarozali ni takatifu? si imetengenezwa kiwandani tu hapo? aisee vipofu ninyi mtafunguka lini? Mungu amewapeni JIna kuu kuliko Majina yoote, Jina la Yesu Kristo, ninyi mnang'ang'ania rozali, wafu, maria...hahahaha.
Hapo kwenye polisi wana fungu la kujiweka sawa,ndio nini?. Kama unaamisha kujizindika. Basi umekuja mle mle unamokataa mwanzo. Kama ni hivyo uchawi upo wa kuwazidi walichojizindika,halafu lazima wapo ambao hawana muda na hayo mamboUongo wa kiwango cha Juu, hawakukumbuki wewe kabisa, Ila kuna records, kuna arrest order Na wewe ulichagua option two!
Uongo narudia tena uongo! Kuna watu Wenye fedha nyingi wamefungwa life time and mganga angekuwa an easy option!
Hakuna Mganga anayeweza kufuta Kesi, simply hayupo, Na hawa Ma police Nina uhakika wana fungu la kujiweka Sawa!
Uongo uongo uongo Na uzandiki
We ni wa kupuuzwa tu , hujui kitu . Ficha ujinga wakokama ulishawahi kuomba kwa salamu maria umejaa neema, ukapata majibu yaliyothibitika, nyosha mkono juu. au kama uliwahi kuomba kwa lozari ukapata majibu. tunaomba kwa Jina la Yesu Kristo pekee. mambo ya kuomba kwa maria na lozari pamoja na kwamba yalikuwa introduced baadaye kabisa na watu wanaoabudu kimwili, lakini mlikuja kujidanganya kwa mzimu uliowatoto wa Fatima, kwamba mzimu wa maria uliwatokea ukawaagiza wasali kwa lozari. maria kafa na hana communication na dunia hii, anasubiri kuhukumiwa siku ya mwisho. hicho kilichowatokea hakikuwa na uhusiano na Mungu ni shetani aliendelea kuwadanganya ili muendelee kusali kwa salamu maria na rozali.
mitume wale 12 hata kina Paulo walioanzisha ukristo, hakuna hata mmoja aliwahi kusali salamu maria au hata kumtaja tu. hakuna hata mmoja aliwahi kusali rozali. kama ni msomaji wa Biblia tutajie wapi wale mitume kina Petro Yohana etc waliposali kwa maria au rozali? au kuelekeza wafuasi wa Kikristo kufanya hivyo. hakuna, Yesu Kristo alituagiza tusali kwa kupitia Jina lake, ukiomba Kwa Jina la Yesu utapata majibu. Mungu hakusikilizi kabisa kama hautaomba kwa kupitia Jina la Yesu kwasababu Yesu Kristo ndiye kafara/daraja kati yetu na Mungu baba. huu ndio ukweli mchungu na shukuru Mungu umeusikia. I challenge you, nenda kamwulize padre au askofu yeyote a catholic asema wapi kwenye Biblia kuna kusali kwa maria, kuomba maria atuombee, kusali kwa lozari.
hii ni invention ya watu kimwili kwamba ati kwasababu maria ndio alimzee Yesu basi tumheshimu mama kabla hatujamheshimu mtoto, hamjui kuwa Yesu Kristo alikuwepo kabla ya maria na ibrahimu na Musa na wote? Yesu Kristo ndiye lile Neno lililotumika katika uumbaji tangu enzi na enzi haina mwanzo wala mwisho. kuja duniani kupitia maria ilikuwa ni njia tu ya kufanyika mwili wa kibinadamu ili abebe dhambi za dunia na kulipa gharama ya dhambi kwa mateso makubwa aliyopitia. hata baba wa duniani hapa hakuwepo, yeye alifanyika reincanation (spirit changing wearing human body) kwa kuuvaa mwili wa kibinadamu, ayashinde yote ya dunia, ateswe kwa ajili yetu ili kutukomboa. hata kumwona Mungu tunaokoka kwa kumkiri na kumwamini Yesu Kristo, maria tupa kule.
Sio issue, padre ni binadamu kama wewe. Hata hao wachungaji wanatembea na wake za watu, hata masheikh wanatembea na wake za watu, hata waamini wa kawaida wanafanya hayo, so hilo la padre kula mke wa mtu sio jipya.
Bora niwe sina dini kuliko kutoka RC niende dini nyingine, I will die a Pure Catholic ππΆπAcha mikwara mbuzi wewe.
Hizi ni shanga tu zimeungwa ungwa kwa mpangilio ambao hauna utakatifu wowote.
View attachment 2336092
Brother, kwa nini unajisumbua na imani za watu? Sadiki unaloliamini. Achana na RC ππUsikaze 𦴠kaka.
Kwahiyo nikiomba Sala ya rozari nipate milioni 10 Leo nitapata?