Ni huzuni kwakweliMahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria mmeniweka Gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo.
Vipi kuhusu watanzania wasiojua Sheria 😭
Vipi wewe unayesoma hapa ukipewa Kesi ya UONGO Baba yako hajulikani hata na Diwani wa Kata ambaye aliingia madarakani kwa ile hali ya 29 October?
Mama yako hajulikani hata na mtendaji wa kata ?
Haki kwanza
Aise,Mahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria mmeniweka Gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo.
Vipi kuhusu watanzania wasiojua Sheria 😭
Vipi wewe unayesoma hapa ukipewa Kesi ya UONGO Baba yako hajulikani hata na Diwani wa Kata ambaye aliingia madarakani kwa ile hali ya 29 October?
Mama yako hajulikani hata na mtendaji wa kata ?
Haki kwanza
Hilo kwa Lucas Mwashambwa halioni mpaka litakapomfika ka Comrade Poepole na NchimbiMahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria mmeniweka Gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo.
Vipi kuhusu watanzania wasiojua Sheria 😭
Vipi wewe unayesoma hapa ukipewa Kesi ya UONGO Baba yako hajulikani hata na Diwani wa Kata ambaye aliingia madarakani kwa ile hali ya 29 October?
Mama yako hajulikani hata na mtendaji wa kata ?
Haki kwanza
Hiyo ni mbinu mojawapo ya kujitetea.Mahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria mmeniweka Gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo.
Vipi kuhusu watanzania wasiojua Sheria 😭
Vipi wewe unayesoma hapa ukipewa Kesi ya UONGO Baba yako hajulikani hata na Diwani wa Kata ambaye aliingia madarakani kwa ile hali ya 29 October?
Mama yako hajulikani hata na mtendaji wa kata ?
Haki kwanza
Isije kuwa dola ina safe house ambapo inakusanya hao raia Ben sanane , nchimbi, pole pole...nkPolepole na kiburi chake chote kile akiwa mwenezi, alidakwa kama kuku tuu. Hii system sio ya kuishabikia kifala fala ni ya kuipinga. Leo Nchimbi katibu mkuu hajulikani alipo.
Isije kuwa dola ina safe house ambapo inakusanya hao raia Ben sanane , nchimbi, pole pole...nk
Dah inasikitisha sana,Safe house kwa sasa ni ngumu kuziendesha, enzi za nyerere sawa. Hao watu wameuwawa mkuu. Ni ukweli lakini mchungu.
Dah inasikitisha sana,
Utawala mbaya sana huu.Mahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria mmeniweka Gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo.
Vipi kuhusu watanzania wasiojua Sheria 😭
Vipi wewe unayesoma hapa ukipewa Kesi ya UONGO Baba yako hajulikani hata na Diwani wa Kata ambaye aliingia madarakani kwa ile hali ya 29 October?
Mama yako hajulikani hata na mtendaji wa kata ?
Haki kwanza
there is something wrongHii nchi ya kifala aisee! Dawa ya hii nchi ni kuja kuchapana.
KaribuHii nchi ya kifala aisee! Dawa ya hii nchi ni kuja kuchapana.
Noma sanaNi huzuni kwakweli
Karibu
Upate mwongozo