Utashangaa pamoja na hiyo huzuni mahakama inafanya maamuzi ya hovyo
Kwaiyo huzuni ni Ushahidi tosha wa kuifanya Mahakama kutoa HAKI
Huzuni na ndugu yake kilio
Izo ni Mbwembwe tu ktk Mahakama hazina msaada wowote kwenye kuamua Kesi au hukumu!!!
Serikali pia inaweza kufanya michezo ya aina iyo
Kuleta wafiwa pale Mahakamani
Waliopoteza Mali zao kwa fujo za uyo Lissu
Ambao wameumizwa na zile Fujo ambazo chanzo chake ni mh Lissu baada ya kutangaza kukinukisha na Kuzuiya Uchaguzi 👈
Lkn niwazi havina msaada kwenye kuamua Kesi❗️zaidi ya kuliza watu tu Mahakamani ✍️