Mahakamani leo uligeuka uwanja wa huzuni na machozi

Porojo, hakuna uhuru wa matusi.
Screenshot_20260514-220943~2.png
 
Mahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria mmeniweka Gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo.

Vipi kuhusu watanzania wasiojua Sheria 😭

Vipi wewe unayesoma hapa ukipewa Kesi ya UONGO Baba yako hajulikani hata na Diwani wa Kata ambaye aliingia madarakani kwa ile hali ya 29 October?

Mama yako hajulikani hata na mtendaji wa kata ?

Haki kwanza
Kwasasa HAKI haieleweki nini maana yake na misingi yake ni ipi hivyo kuna uwezekano vizazi vijavyo havitaelewa kabisa maana wala misingi ya HAKI.
 
Nip
Kuna 1,2,3,4,5,na

1.Alikuwa nae katili ( cna uhakika ) ule wimbo unaopigwa tbc .kama syooo juhudi zake.naona kama ni matango pori $.darasani matangopori
Ashum Mimi na wewe tunalima shamba badae unatupilia mbali. Kuna unafuu gani
 
Mahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria mmeniweka Gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo.

Vipi kuhusu watanzania wasiojua Sheria 😭

Vipi wewe unayesoma hapa ukipewa Kesi ya UONGO Baba yako hajulikani hata na Diwani wa Kata ambaye aliingia madarakani kwa ile hali ya 29 October?

Mama yako hajulikani hata na mtendaji wa kata ?

Haki kwanza

Siku zote Masikini Hana haki
 
Tlaatlaah THE BIG SHOW zandrano Troll JF Samia atosha tukutane2030 Ipo siku fedha za damu mnazopewa kuumiza WATANGANYIKA zitaishia kwenye matibabu ya kansa OCEAN ROAD
 
Mahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria mmeniweka Gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo.

Vipi kuhusu watanzania wasiojua Sheria 😭

Vipi wewe unayesoma hapa ukipewa Kesi ya UONGO Baba yako hajulikani hata na Diwani wa Kata ambaye aliingia madarakani kwa ile hali ya 29 October?

Mama yako hajulikani hata na mtendaji wa kata ?

Haki kwanza
Hakuna cha kutia huruma wala kutia huzuni. Huyo Lissu dawa yake ni kunyongwa hadi kufa tu ili akiwa ahera atie akili!
 
Mwambie yeye mwaka mmoja analalamika wenzake mashekhe walikaa miaka 10 mahabusu, msisahau kumwambia hakuna ambaye yupo juu ya sheria yeyote akikosea lazima sheria ihusike halafu mbona lissu analalamika kama kaonewa wakati yupo Mahakamani sehemu sahihi yeye kujitetea kama hana kosa hatafungwa kama anakosa atafungwa asiongee vitu kama layman, ajue sheria haiangalii mjuzi wala mjinga, apambane kujitetea akishinda ataachiwa.
Umejichanganya sana kwenye maelezo yako. Umetoa boko ndimi za nyoka.
 
Back
Top Bottom