Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Haya. Subiri hapo hapo. Ntakukuta natoka kusikiliza hukumu ya Lissu kunyongwa hadi kufa!!Wakati mnaandaa mashitaka ya uongo nadhani neno kunyonga hadi kufa mlilichagua kama target ndio maana mkapendekeza kesi ya uhaini hewa.
Kila mmoja wenu ni lazima aseme kwa kurudia rudia “kunyongwa hadi kufa “ intimidation tactics kama za serikali ya kikoloni.
Nchi hii hakuna atakayenyongwa tupo tumekaa pale.