Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
This picture speaks thousands words!.
Happy New Year!.
Paskali
Kuna vitu vikubwa vizuri hii picha inasema ambavyo havijaandikwa!. Inabidi uwe na observatory eagle eye kuviona!.In politics nothing happens by accident
View attachment 2466049
- Kikawaida Political pictures zinafuata kanuni ya kidplomasia iitwayo reciprocity, wenyeviti wa vyama wakikutana ni wenyeviti.
- Wenyeviti wakikutana huku wameandamana na ma VC wao, then wote wawili wataandamana na ma VC wao!. Sio mmoja yuko na VC wake, mwingine yuko kavu kavu!.
- Distance between the subjects and proximity and closeness tells something comfortablility, love, trust, openness and readiness!.
- Colours of suits and single buttons suits is just an amazing coincidence!, which tells they think alike!.
- Kiukweli kabisa usione vyaelea, vimeundwa!. Kuna watu wakiangalia hii picha wanadhani it was simple and easy, na kufikiri it just happened!.
- No way, mpaka hapo unapowaona, ujue kuna kazi kubwa background work imefanyika:!.
- Kuna watu wamemuombea mtu msamaha, Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?
- Kuna watu wameandika Makala magazetini za kumuombea mtu msamaha!
- Mtu akasamehewa:!
- mambo mazuri yakaanza!, vikao ambavyo vilikwama kuitishwa kutokana na ukosefu wa fedha, pesa zikapatikana!, vikao vikaitishwa!, sasa hata fedha za uendeshaji wa shughuli za chama zimepatikana, mambo sasa yanakwenda, na sio fedha tuu za uendeshaji, hadi fedha za kupiga trips za nje ya nchi pia zimepatikana!.
- Haya ni mambo mazuri, kiukweli kabisa mahali ni pazuri, ndugu wanapokaa, wakipata vema na wakipendana.
- Tulikotoka ni kugumu, tunako kwenda ni kurahisi, kuzuri!. Tunaelekea pazuri.
Happy New Year!.
Paskali