NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Mumalize na hizi njaa na hali ngumu.Kama ni wakwelo basi mungu awaongoze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio tusubiri tuone, as if ni you don't believe, ni tusubiri matokeo ya utekelezaji.Tusubiri tuone !!
Hakuna kitu kama alihusishwa kuanzia hatua ya kwanza hadi ya mwisho na hata kabla ya ripoti kutolewa alikuwa anadokezwa maendeleo yake kwa hiyo acha uongoPascal tuseme hujui kuwa maxungumzo ya maridhiano kati ya CCM na Chadema hayakumhusisha Samia kwa vile ni Rais hivyo CCM iliwakilishwa na Kinana?
Kilichofanyika hapo ni kiongozi wa Chadema na wa CCM kumkabidhi ripoti Rais. Very simple!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app