Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sometimes odinga itabidi akubali uongozi si his callingRaundi ya kwanza
Odinga 20, mgombea wa Djubut 18 na Mgombea wa SADC 10
Round ya pili
Raila Odinga 22, mgombea wa Djubut 19 na Mgombea wa SADC 7
Round ya Tatu
Raila Odinga 23 na Mgombea wa Djubut 25
Round ya 3 walibakia wagombea Wawili baada ya yule wa SADC mwenye Kura 7 kutolewa
Kama Kura zote 7 za SADC wangempigia Odinga basi angeshinda Kwa kura 29
Unadhani kwanini Raila Odinga amefeli? 🐼
Umri wa Wassira ni Tatizo!!!!Raundi ya kwanza
Odinga 20, mgombea wa Djubut 18 na Mgombea wa SADC 10
Round ya pili
Raila Odinga 22, mgombea wa Djubut 19 na Mgombea wa SADC 7
Round ya Tatu
Raila Odinga 23 na Mgombea wa Djubut 25
Round ya 3 walibakia wagombea Wawili baada ya yule wa SADC mwenye Kura 7 kutolewa
Kama Kura zote 7 za SADC wangempigia Odinga basi angeshinda Kwa kura 29
Unadhani kwanini Raila Odinga amefeli? 🐼
Mwache akose. Tulikuwa tunamuita baba wa mageuzi Afrika Mashariki lakini akaja kutugeuka baada ya kuungana na Ruto.Raundi ya kwanza
Odinga 20, mgombea wa Djubut 18 na Mgombea wa SADC 10
Round ya pili
Raila Odinga 22, mgombea wa Djubut 19 na Mgombea wa SADC 7
Round ya Tatu
Raila Odinga 23 na Mgombea wa Djubut 25
Round ya 3 walibakia wagombea Wawili baada ya yule wa SADC mwenye Kura 7 kutolewa
Kama Kura zote 7 za SADC wangempigia Odinga basi angeshinda Kwa kura 29
Unadhani kwanini Raila Odinga amefeli? 🐼
Hapa mimi sijamuelewa kabisa mleta mada.Raundi ya kwanza
Odinga 20, mgombea wa Djubut 18 na Mgombea wa SADC 10
Round ya pili
Raila Odinga 22, mgombea wa Djubut 19 na Mgombea wa SADC
Unadhani kwanini Raila Odinga amefeli? 🐼
Laana ya dingiHuyu mzee ana kimavi
Ni kama ilivyokuwa kwa mzee late Lowassa, huyu pia hana shida na hela ila alikuwa anatafuta kustaafu kwa heshima, hakuna kingine.Huyu mzee ana roho mgumu aisee
Tangu kijana mpaka leo bado anatafuta cheo tu
Ila hana bahati masikini
nchi zote za kiarabu ziliamua kwamba huu ni wakati wao kuongoza chombo hicho kikubwa barani Africa,Raundi ya kwanza
Odinga 20, mgombea wa Djubut 18 na Mgombea wa SADC 10
Round ya pili
Raila Odinga 22, mgombea wa Djubut 19 na Mgombea wa SADC
Unadhani kwanini Raila Odinga amefeli? 🐼
Kumpa Raila Odinga uenyekiti wa AU ingekuwa ni kumzawadia Ruto na wafuasi wake. Kumbuka Kenya ni "Mshirika Mkuu Asiye wa NATO"!Raundi ya kwanza
Odinga 20, mgombea wa Djubut 18 na Mgombea wa SADC 10
Round ya pili
Raila Odinga 22, mgombea wa Djubut 19 na Mgombea wa SADC
Unadhani kwanini Raila Odinga amefeli? 🐼
Ukijibiwa nistue👃👃Hapa mimi sijamuelewa kabisa mleta mada.
Yaani round ya pili Odinga kapata kura 22 na mpinzani wake wa karibu kura 19, halafu Odinga kashindwa!
Kivipi?
Wenye D mbili embu njooni mtueleweshe, sisi wengine hatukufika kidato.
Rwanda na Sadac aziviKuna watu watasema yule jamaa wa Rwanda kamfanyia figisu
Djibout si EAC piaBaadhi ya nchi za SADC zilimuunga moja kwa moja mgombea wa kutoka Madagasca (m-SADC mwenzao). Sasa tumekosa Bara na Pwani (SADC na EAC). Kiti kimeenda Pembe ya Africa..!
Raila kama Lissu.Odinga hana nyota ya kushinda uchaguzi. Ingekuwa ni uchaguzi wa nchini kwake angeanza kumobilize vijana kuwa amehujumiwa.