Maharage Chande: Tuache kupeana maneno tamutamu; bei ya Tsh 27,000/= haitoshi kuunganisha umeme

Leo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha shirika hilo. Amesema ni vigumu sana kutofautisha mjini na vijijini kwani wote wanahitaji huduma hiyo kitu ambacho inasababisha shirika hilo kujiendesha kwa hasara kubwa!

Aidha kwa maoni yangu waziri wa nishati na Naibu wake je wakati wakiwasilisha taarifa mbalimbali za utendaji wa shirika hilo hawakai na wataalamu wakaambiwa kuhusu bei hizo za kuunganishiwa umeme?

Kutokana na kauli hizo kati ya waziri na mkurugenzi wa Tanesco ni kauli zipi ambazo umma utakuja kuziamini kutokana na mkanga'nyiko huo ambao hauleweki wa umeme wa tsh 27,000/=?

Ni hatari sana kwa mkurugenzi wa Tanesco kuambia umma kuwa unawezaje kununua tv ya sh 1,000,000/= halafu uhitaji umeme wa tsh 27000/= akumbuke kuwa hii nchi ni ya kwetu sote hata hivyo kutokana na nyakati tulizopo tulihitaji umeme wa gharama ya chini na siyo kukatisha tamaa umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27,000/=.

Kwa hali hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana kila sababu kufatilia kwa karibu utendaji wa shiraka hilo na Wizara ya Nishati kwa ujumla kwani tayari wananchi wameshaanza kutokuwa na imani na watendaji wa Tanesco na wizara husika.
Huko Tanesco kila mtu anaongea lwake
 
Huo ndio ukweli japokuwa unauma. Na ni lazima usemwe ili usikike. TANESCO ni shirika ambalo kila mtu anataka limhudumie bila ya kuangalia lenyewe nani analihudumia.
 
Tanesco hawajawahi eleweka wanataka Nn nchi hii... kiangazi kwao tatizo... masika kwa tatizo... gas kwao tatizo... hydropower tatizo... mnataka nini enyi kizazi cha michongo ? 10%

Leo 27,000
Kesho 27,000 sio mchongo ...

Why huyu Mtanzania mnambebesha tu mizigo
Akigeuka Tozo ,bei za vitu kupanda,Petrol juu vyakula juu vifaa vya ujenzi juu

Duh wabongo hii nchi Mna hakika ni yetu ?🤣
 
Leo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha shirika hilo. Amesema ni vigumu sana kutofautisha mjini na vijijini kwani wote wanahitaji huduma hiyo kitu ambacho inasababisha shirika hilo kujiendesha kwa hasara kubwa!

Aidha kwa maoni yangu waziri wa nishati na Naibu wake je wakati wakiwasilisha taarifa mbalimbali za utendaji wa shirika hilo hawakai na wataalamu wakaambiwa kuhusu bei hizo za kuunganishiwa umeme?

Kutokana na kauli hizo kati ya waziri na mkurugenzi wa Tanesco ni kauli zipi ambazo umma utakuja kuziamini kutokana na mkanga'nyiko huo ambao hauleweki wa umeme wa tsh 27,000/=?

Ni hatari sana kwa mkurugenzi wa Tanesco kuambia umma kuwa unawezaje kununua tv ya sh 1,000,000/= halafu uhitaji umeme wa tsh 27000/= akumbuke kuwa hii nchi ni ya kwetu sote hata hivyo kutokana na nyakati tulizopo tulihitaji umeme wa gharama ya chini na siyo kukatisha tamaa umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27,000/=.

Kwa hali hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana kila sababu kufatilia kwa karibu utendaji wa shiraka hilo na Wizara ya Nishati kwa ujumla kwani tayari wananchi wameshaanza kutokuwa na imani na watendaji wa Tanesco na wizara husika.
Atueleze pia mapato ya Tanesco ya 1 trillion plus yanatumikaje, wadeni ni kampuni gani na wanazilipa shs ngapi kwa mwezi. Pia atueleze gas pekee wanalipa ngapi kwa mwaka.
 
Kwahiyo wewe usiye maharage unaamini kuna umeme wa 27,000/=!
Tupe mchanganuo wa huo umeme kuanzia generation mpaka distribution ili tuone.
Bila mchanganuo wala maneno ya lugha ya kigeni, inawezekana! Haya tuanze na REA, wanapata wapi pesa za kulipana mishahara na gharama za uendeshaji wa hilo lishirika?

Kila mtumiaji wa umeme, anaichangia REA 1% ya manunuzi yake ya umeme, ni kiasi gani kinakusanywa kwa mwezi?

Znz wao wanaweza vipi kushusha gharama hizo? Wanaweza vipi kutumia umeme wasiolipia hata sumni?

Anzia generation mpaka distribution kunielewesha mkuu!
 
Ndo tatizo la wahuni kushika ofisi za umma. Tanesco hawajawahi kujiendesha wenyewe bila kupata hasara na kama ilitokea basi wakati wa baba wa Taifa, mbona hata wakati kabla ya 27000 kuwepo tayari shirika lilishawashinda na wakati huo nguzo moja ilikuwa laki saba, kwanini hata wakati huo walikuwa wanafanyia hasara? Hivi inawezekanaje wao wapeane unit zaidi ya 300 kwa mwezi na shirika lisipate hasara? Na bado wana mishahara na marupuru, huu kama si wizi ni nini?
 
Mzee mmoja huko kigoma aligoma kulipia bill ya maji akidai mbona ni maji ya Mungu.
Tanesco wanatakiwa wamuunganishie mteja ili wapate hela kupitia unit.
 
Leo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha shirika hilo. Amesema ni vigumu sana kutofautisha mjini na vijijini kwani wote wanahitaji huduma hiyo kitu ambacho inasababisha shirika hilo kujiendesha kwa hasara kubwa!

Aidha kwa maoni yangu waziri wa nishati na Naibu wake je wakati wakiwasilisha taarifa mbalimbali za utendaji wa shirika hilo hawakai na wataalamu wakaambiwa kuhusu bei hizo za kuunganishiwa umeme?

Kutokana na kauli hizo kati ya waziri na mkurugenzi wa Tanesco ni kauli zipi ambazo umma utakuja kuziamini kutokana na mkanga'nyiko huo ambao hauleweki wa umeme wa tsh 27,000/=?

Ni hatari sana kwa mkurugenzi wa Tanesco kuambia umma kuwa unawezaje kununua tv ya sh 1,000,000/= halafu uhitaji umeme wa tsh 27000/= akumbuke kuwa hii nchi ni ya kwetu sote hata hivyo kutokana na nyakati tulizopo tulihitaji umeme wa gharama ya chini na siyo kukatisha tamaa umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27,000/=.

Kwa hali hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana kila sababu kufatilia kwa karibu utendaji wa shiraka hilo na Wizara ya Nishati kwa ujumla kwani tayari wananchi wameshaanza kutokuwa na imani na watendaji wa Tanesco na wizara husika.
Ni wajibu wa TANESCO kugharamia miundo mbinu ya usambazaji umeme (transformer na nguzo) kwa jinsi ileile ya huduma zingine (usafiri, maji, afya, elimu, mawasiliano, nk).

Hivyo basi Mkurungezi Maharage hawezi kueleweka bila kutoa uchambuzi wa gharama yao ya kuunganisha umeme kwa wakazi wa mijini na vijijini kulingana na kiwango cha miundo mbinu iliyopo. Wakati mijini sehemu nyingi tayari nguzo na transformer zipo hivyo wahitaji hawako mbali, vijijini ni wajibu wa TANESCO kugharamia miundo mbinu yao. Gharama hizo hurudishwa wakati wateja wanapolipia huduma (usafiri, maji, elimu, afya, mawasiliano, hata na umeme).
 
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. SSH ni msema kweli, japokuwa hatuupendi kuusikia kwani unatuumiza moja kwa moja.
Msema kweli🐒🐒🐒
16456352043977.jpg

16456424275218.jpg
 
Leo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha shirika hilo. Amesema ni vigumu sana kutofautisha mjini na vijijini kwani wote wanahitaji huduma hiyo kitu ambacho inasababisha shirika hilo kujiendesha kwa hasara kubwa!

Aidha kwa maoni yangu waziri wa nishati na Naibu wake je wakati wakiwasilisha taarifa mbalimbali za utendaji wa shirika hilo hawakai na wataalamu wakaambiwa kuhusu bei hizo za kuunganishiwa umeme?

Kutokana na kauli hizo kati ya waziri na mkurugenzi wa Tanesco ni kauli zipi ambazo umma utakuja kuziamini kutokana na mkanga'nyiko huo ambao hauleweki wa umeme wa tsh 27,000/=?

Ni hatari sana kwa mkurugenzi wa Tanesco kuambia umma kuwa unawezaje kununua tv ya sh 1,000,000/= halafu uhitaji umeme wa tsh 27000/= akumbuke kuwa hii nchi ni ya kwetu sote hata hivyo kutokana na nyakati tulizopo tulihitaji umeme wa gharama ya chini na siyo kukatisha tamaa umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27,000/=.

Kwa hali hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana kila sababu kufatilia kwa karibu utendaji wa shiraka hilo na Wizara ya Nishati kwa ujumla kwani tayari wananchi wameshaanza kutokuwa na imani na watendaji wa Tanesco na wizara husika.
Chande yuko sahihi sana ila kwa ccm ndiyo tatizo kubwa tusimuonee wakuna wenye vision hata wakitokea wenye vision huwa hawawezi kuparfome well kwasababu ya mfumo
 
Ila kiuhalisia hiyo bei ni hasara kwa shirika
27 000,kwakweli tusidanganyane.
Nilitumia 500,000+ mpk kuweka kwa bi mkubwa.
Acha hela ndogo za chai kwa wafanyakazi watanesco.
Na ni zamani tu.
Sasa 27 leo itawezekana vp?
 
Kwani nani kasema inatosha? Hiyo siyo biashara, ni mkakati maalumu wa kuhakikisha watu vijijini wanapata umeme. Watu wengine bana!!!
 
Leo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha shirika hilo. Amesema ni vigumu sana kutofautisha mjini na vijijini kwani wote wanahitaji huduma hiyo kitu ambacho inasababisha shirika hilo kujiendesha kwa hasara kubwa!

Aidha kwa maoni yangu waziri wa nishati na Naibu wake je wakati wakiwasilisha taarifa mbalimbali za utendaji wa shirika hilo hawakai na wataalamu wakaambiwa kuhusu bei hizo za kuunganishiwa umeme?

Kutokana na kauli hizo kati ya waziri na mkurugenzi wa Tanesco ni kauli zipi ambazo umma utakuja kuziamini kutokana na mkanga'nyiko huo ambao hauleweki wa umeme wa tsh 27,000/=?

Ni hatari sana kwa mkurugenzi wa Tanesco kuambia umma kuwa unawezaje kununua tv ya sh 1,000,000/= halafu uhitaji umeme wa tsh 27000/= akumbuke kuwa hii nchi ni ya kwetu sote hata hivyo kutokana na nyakati tulizopo tulihitaji umeme wa gharama ya chini na siyo kukatisha tamaa umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27,000/=.

Kwa hali hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana kila sababu kufatilia kwa karibu utendaji wa shiraka hilo na Wizara ya Nishati kwa ujumla kwani tayari wananchi wameshaanza kutokuwa na imani na watendaji wa Tanesco na wizara husika.
Kiuhalisia ingetakiwa kuunganishiwa iwe bure kabisa ili malipo yafanyike kwenye manunuzi ya units.
 
Back
Top Bottom