Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hawa watu wa serikalini wamejibinafsishia kila kitu as if bila wao nchi haitakuwepoKweli hakuwahi kuwa mtumishi wa umma ,ila aliwahi kuwa COO NBC bank na huku serikalini kumeoza kunahitaji watu wenye energy na vision kutoka private sector ,age sio tatizo kwa level ya cheo chake.
anayeondoka alikiwa lecturee na mkuu wa idara ya electrical engineer wa udism..undism ni taasis ya serikaliKwani mkurugenzi aliyeondoka aliingia Tanesco akiwa na umri gani?
Tumeona watu hawajawahi kua class monitors lkn wakaleta matokeo chanya. Unamkumbuka Prof. Luhanga VC UDSM?
Acheni hizo. Maharage piga kazi. Prove them wrong.
Na Mafuru yumo kwenye bodi ya Tanesco hii ya February kama sijakosea, wanarudi kimyakimya team wapigajitena ndio waliochangia kuiua akiwa na rafiki yake mafuru 😕
KimisiMaharage ni mengi harage ni moja......
ki kwetu harage ni ninihiii
Wewe ndiye ukimuona sober. Yule alikuwa mlevi kama jina lake na ulevi wake ulimfanya akafa kwa korona kirahisi tu. Hakuwa soberWhat is in a name?
Rais aliyepita aliitwa Pombe wakati alikua sober 24/7.
Idris Rashid alitoka BOT.Mawazo mazuri mama D. Najaribu kuwaza tu hivi yule Idris Rashid alipokwenda pale kuwa MD alikuwa hajatimiza miaka 45 au vipi? Na yeye vile vile alitokea huko kwenye mabenki ambako hawana masihara na utendaji.
Tuwape nafasi watendaji kutoka sekta binafsi ili watukimbize huku serikalini, labda tutaamka na utendaji wetu wa kazi.
thats right… hakuna wa kuwakema wakina January, wameona Rais anajiita Mama, hatishi, na hajali, wanaweza kufanya chochote wanachotaka, wanafanya michezo na maisha ya watu masikini wa kutupwaT
Tulishasema pre-frebruary ameamua kukimbia wakati wengine wanatembea!! Anatengeneza fursa nyingi za kupiga!! Anaamini shamba la bibi limerudi na hategemei kuna mtu atamkemea!
Makamba na akina nape Ni watupu kichwani, wamebebwa na kuwaheshimu baba zao, mbeleko za baba zao na Wala si professionalism waliyonayo.Maharage Chande, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO ana umri zaidi ya miaka 45. Ameingiaje kwenye utumishi wa Umma ?
Au ni urafiki wake na Waziri wa Nishati January Makamba (cronyism) ndio umempa upendeleo huu ? Makamba ndio amepeleka jina kwa Rais. Rais hamjui Maharage.
Matokeo ya cronyism ndio haya: Chande hana background au experience ya utumishi wa umma, wala kazi za shirika la nishati wala shirika la fani yeyote lenye ukubwa na ugumu wa uendeshaji kama TANESCO. Ametokea DSTV na kabla ya hapo Vodacom.
Kituko cha kwanza cha Chande alikitoa kwenye hotuba yake ya utambulisho mbele ya hadhara, waandishi, wateule wenzie wapya pamoja na Waziri.
Akasema anataka PAY-FOR-PERFOMANCE, mfumo wa ulipaji kulingana na ufanisi kiutendaji. Toka lini kwenye public sector mtu analipwa tofauti na salary scale yake ??? Huyu jamaa hana clue na mifumo ya ujira za utumishi wa umma. Speech yake ya kwanza anatueleza ndoto za Alinacha za jinsi watakavyolipana badala ya matatizo ya upatikanaji umeme wa uhakika.
Tunaomba January Makamba ujali na uwe serious na kazi yako. Tunajua huna sana uchungu na wananchi na kuhuwahi kusota kupata kazi hizi kwa vile ulibebwa na majina ya baba zako Yusufu (nepotism) na Jakaya (cronyism), na siku zote vyeo vimekuwa vikikujia, kuondoka na kurudi kirahisi rahisi. Jisafishe, tunaomba uanze kujali.
Ana vision gani?Kweli hakuwahi kuwa mtumishi wa umma ,ila aliwahi kuwa COO NBC bank na huku serikalini kumeoza kunahitaji watu wenye energy na vision kutoka private sector ,age sio tatizo kwa level ya cheo chake.
Maharage Chande, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO ana umri zaidi ya miaka 45. Ameingiaje kwenye utumishi wa Umma ?
Au ni urafiki wake na Waziri wa Nishati January Makamba (cronyism) ndio umempa upendeleo huu ? Makamba ndio amepeleka jina kwa Rais. Rais hamjui Maharage.
Matokeo ya cronyism ndio haya: Chande hana background au experience ya utumishi wa umma, wala kazi za shirika la nishati wala shirika la fani yeyote lenye ukubwa na ugumu wa uendeshaji kama TANESCO. Ametokea DSTV na kabla ya hapo Vodacom.
Kituko cha kwanza cha Chande alikitoa kwenye hotuba yake ya utambulisho mbele ya hadhara, waandishi, wateule wenzie wapya pamoja na Waziri.
Akasema anataka PAY-FOR-PERFOMANCE, mfumo wa ulipaji kulingana na ufanisi kiutendaji. Toka lini kwenye public sector mtu analipwa tofauti na salary scale yake ??? Huyu jamaa hana clue na mifumo ya ujira za utumishi wa umma. Speech yake ya kwanza anatueleza ndoto za Alinacha za jinsi watakavyolipana badala ya matatizo ya upatikanaji umeme wa uhakika.
Tunaomba January Makamba ujali na uwe serious na kazi yako. Tunajua huna sana uchungu na wananchi na kuhuwahi kusota kupata kazi hizi kwa vile ulibebwa na majina ya baba zako Yusufu (nepotism) na Jakaya (cronyism), na siku zote vyeo vimekuwa vikikujia, kuondoka na kurudi kirahisi rahisi. Jisafishe, tunaomba uanze kujali.
Maharage Chande
3rd degree connection3rd
Regional Managing Director(East and West Africa) at MultiChoice Africa
Tanzania
For the past 20 years I have acquired experiences from Information and Communication Technology, Telecommunications and Banking industries both in management and technical levels. For nearly 4 years I have served in the management of the National Bank of Commerce as Chief Operating Officer (COO), 6 years in Vodacom Tanzania Limited as the Managing Executive of Data, IT & Value Added Service and the rest with Standard Chartered Bank as the Country Head of Information Technology, through these tenures I have acquired unparalleled experiences in successful running large organisations which are leading in their respective industries.
I possess rare mix of skills-sets available in the market today that is strong technology Skills & Experience together with strong business transformation and leadership acumen, which are necessary ingredients in managing Key Business Performance Indicators (KPIs), relationship between Management, Board of Directors and Shareholders, moreover building sound Organisation Strategy that can realise value to stakeholders.
I have Bachelor of Science in Electronic and Communication (UDSM) and Masters in Business Leadership (Focus: Advance Corporate Financial Strategy) (University of South Africa) and various technical and management certifications.
Experience
Company NameMultiChoice Africa
Total Duration5 yrs 5 mos
TitleRegional Managing Director(East and West Africa) Multichoice
Dates EmployedMay 2018 – Present
Employment Duration3 yrs 6 mos
Manage a portfolio of 39 countries in West Africa(excl. Nigeria) and East Africa. Oversee staff, and
Financials for the Multichoice Operations in the countries. Manage multiple boards, shareholders,
regulators and stakeholders.
Overseeing Sales, Customer Value management(CVM) and Customer Experience strategies,
planning and execution.TitleManaging Director(Tanzania)
Dates EmployedJun 2016 – Jun 2018
Employment Duration2 yrs 1 mo
LocationTanzania, Dar es salaam
Manage Multichoice Tanzania business which includes managing people, commercials(CVM, Marketing, Sales and Service). In addition, management of key stakeholders which are regulators, shareholders and the board of directors.
Notable achievement 100% growth of business in 2 years.…see more- View attachment 1959111
United Republic of Tanzania, President's Office, Director: Corporate Services
Company Name
President's Delivery Bureau(PDB)
Dates EmployedApr 2014 – Apr 2016
Employment Duration2 yrs 1 mo
LocationDar es salaam, Tanzania
President Delivery Bureau (PDB) is charged with implementation of country's high priority projects in Education, Water, Agriculture, Energy, Transport and Resource Mobilisation. As a Director for Corporate Service and among the founding members of the bureau I am in charge of Human Resources, Finance, Budgeting, Accounting, Procurement and Information Technology function.- View attachment 1959112
Chief Operating Officer
Company Name
National Bank of Commerce a member of Barclay Africa Group
Dates EmployedOct 2010 – Apr 2014
Employment Duration3 yrs 7 mos
LocationTanzania
Managing a banking operations ranging from traditional core banking, IT, Security, Procurement, Programme Office, Digital Channels, Branch Operations, Card, and Properties and Premisses.
Managing executive: IT, Data & Value Added service
Company Name
Vodacom Tanzania
Dates EmployedMar 2004 – Oct 2010
Employment Duration6 yrs 8 mos
I managed People, Processes & Technology on strategis and operation level for IT Team(Traditional Corporate IT), Data Team(GGSN/SGSN & IPMPLS core), and Value Added Services(WAP,MMSC,USSD II GW,Vodamail etc,) in Total I have got about 63 staffs.
Notable achievement: Launched first WiMax network, 3G and M - PESA, in addition built a great team of staff.…see more
Company NameStandardchartered Bank
Total Duration4 yrs
TitleCountry Head of Information Technology
Dates EmployedApr 2001 – Mar 2004
Employment Duration3 yrs
Running the IT shop for Standardchartered bank, manage people, technology and process.TitleCountry Head of Information Technology
Dates Employed2000 – 2004
Employment Duration4 yrs
Managing IT operations inclusing process, technology and people, in compliance to popular frameworks such as ITIL and CoBITEducation
University of South Africa/Universiteit van Suid-Afrika
Degree NameMBL
Field Of StudyBusiness Leadership
Dates attended or expected graduation2005 – 2008
University of Dar es Salaam (UDSM)
Degree NameElectronics and Communication
Field Of StudyMathematics,Informatics & Physics
Dates attended or expected graduation1996 – 1999
tuonyeshe wapi imeandikwaUmeingiaje kwenye utumishi wa umma wakati ushazidi miaka 45 ????
Mbona Bashiru aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na wakati anazaidi ya miaka 50 na hakuwa mtumishi wa umma?Kweli hakuwahi kuwa mtumishi wa umma ,ila aliwahi kuwa COO NBC bank na huku serikalini kumeoza kunahitaji watu wenye energy na vision kutoka private sector ,age sio tatizo kwa level ya cheo chake.
Katiba ni mbovu mtu yoyote anaweza hata kuwa Jaji Mkuu hata kama siyo mwanasheriaJamaa anaponzwa na jina lake how on earth mtu anaitwa beans hahaaaaa , mbona jiwe aliteua watu wengi kutoka private wengine kuwa RAS DED etc hamkusema