Mahari inapaswa kupigwa marufuku, inatweza utu wa Mwafrika na kukumbusha historia mbaya

Ni kipi nacho lazimisha au wewe na fikra zako za kipuuzi kuwa kila kitu kiitwacho mila na desturi kinapaswa kuendelezwa hata kama cha kishenzi
Kama mtu mwingine anasema kwenye ndoa mahari ni lazima na ndicho kinachahalalisha ndoa ni vipi umwambie huo ni ushenzi na hapaswi kufanya hivyo! Huoni kama unalazimisha afanye unachokiamini wewe?
 
Naonavtu mnavyowakiana. Nipeni urefa nisimamie VAR
 
Kama mtu mwingine anasema kwenye ndoa mahari ni lazima na ndicho kinachahalalisha ndoa ni vipi umwambie huo ni ushenzi na hapaswi kufanya hivyo! Huoni kama unalazimisha afanye unachokiamini wewe?
Kwa sababu watu wana halalisha ushenzi basi haupaswi kuitwa ushenzi kwa sababu umehalilishwa ?

Kwamba madawa ya kulevya yaki halilishwa hayapaswi kuitwa tena madawa ya kulevya bali unga wa kula ?
 
Kwa sababu watu wana halalisha ushenzi basi haupaswi kuitwa ushenzi kwa sababu umehalilishwa ?

Kwamba madawa ya kulevya yaki halilishwa hayapaswi kuitwa tena madawa ya kulevya bali unga wa kula ?
Nahisi una matatizo ya afya ya akili,sitoweza kubishana na mgonjwa.
 
Tafuta pesa sio unakuja kulalamika, ww ukishapata mtoto wako niite nije nimuoe bure
 
[emoji419]
 
Ukweli mchungu Sana huu
 
Nafikiria mtoa mada atakuwa na akili ya aina gani kabla sijajibu naomba kujua umri wako maana siku hizi Mambo mengi
 
Ma feminist wameufyata mkia utadhani hawauoni huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…