Mahari kubwa yamkosesha mke

Hivi bado mnalipa mahari mpaka leo? Kamata binti tia mimba wazazi waanze kumsaka baba wa mtoto, kisha unaenda kujitambulisha huku wewe ndiyo ukiwa man of the match.
Nakuapia hawawezi kukuringia maana wanajua kabisa hapa tukifanya mchezo tutalea mama na mtoto wake.
Tuache unyonge mwanaume sio kiumbe cha kulia lia kisa mapenzi. Tunapaswa kunyenyekewa na kuheshimiwa sana maana tumebaki wachache sana
 
Hapo ingekua mm namkopa demu laki 5 afu namchana tumemalizana kihivyo
 
Hii mbinu ya kibabe saana tia mimba waache waamue wao kupanga mahari ya kuoa au ya kubaki na binti na mtoto walee wao
 
Huyo mwanamke pamoja na familia yake hawafai..!!
Ampige chini tu
 
Uzi ufungwe umemaliza kila kitu mkuu Mimi sina cha kuongezea

Suluhisho hapo ni kupiga Mimba tu wasipoelewa ya kwanza piga ya Pili wasipoelewa ya Pili waongezee ya tatu wenyewe watakuita na kukwambia maharl laki9 lipia chukua mke
 
Mbona kachelewa sana kumpiga chini huyo mdada,, kwanza inaonyesha jamaa yako hata hiyo ndoa itakuwa mateso tu kwake,, mpaka kufika kwako inaonyesha jinsi gani "kademu" kanampeleka puta,, kaa naye kwa umakini huenda akafanya lolote ili aipate hiyo mil5 hata ikiwezekana kuuza nchi atauza,,
 

Hizo Mahari mnaziendekeza wenyewe.
Kuku akijipeleka kwenye Makali ya kisu anageuka kitoweo.

Watibeli hawatoi Mahari Dunia ingalipo
 
Mbona amechukua muda kughairi ilitakiwa siku ile ile amwage mboga
Ilitakiwa iwe rahisi anamwambia mshenga kawambie hizo hela hatuna siku tukijalliwa inshallah tutakuja tuombe uhai sisi hela tuliyonayo ni hii tu ikikamilika tutakuja Inshallah

Halafu anaingia mitini wabaki na mtoto wao sio lazima aoe yeye
 
Mambo mengine ni kuwahoji watoto kidogo, unaweza kuta wameishi huko vyuoni kama mke na mme alafu wazee wanakuja kuweka ngumu. Huku ni kupoteza malengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…