Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
KabisaMbona amechukua muda kughairi ilitakiwa siku ile ile amwage mboga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaMbona amechukua muda kughairi ilitakiwa siku ile ile amwage mboga
Hivi bado mnalipa mahari mpaka leo? Kamata binti tia mimba wazazi waanze kumsaka baba wa mtoto, kisha unaenda kujitambulisha huku wewe ndiyo ukiwa man of the match.Ni kijana mwenzangu sekta ya afya, mwaka huu mwanzoni aliamua kwenda kutoa posa kwa binti ambaye alipanga aanzishe naye familia.
Binti mwajiriwa wa serikali na asili yao ni kanda ya ziwa ila wanaishi na familia katika moja mikoa wa Pwani.
Mshenga alitumwa pamoja na baadhi ya wanafamilia wa kijana.
Kijana aliaandaa milioni 2 mfukoni siku hiyo ambayo alishika mjomba wake .
Kusikilizwa laki 2 , kishika uchumba laki 3 , wakatoa cash.
Mahari ikatajwa ng'ombe 10 @400,000/- jumla mil 4 na vitu vingine milioni 1, jumla ya mahari milioni 5 itolewe yote kwa pamoja bila kuacha deni.
Mshenga akabembeleza pale ila wapi. Wakajibiwa kwa mila za kwao kupunguza mahari ni dharau , hilo Jambo haliwezekani.
Basi ule msafara wake ukarudi bila muafaka.
Kabla ya hapo Kijana alipanga na mchumba wake kuwa mahari itakuwa milioni 2.5 so yeye alijua akitoa milioni 2 akibakisha deni la laki 5, kama tunavyooambiana mtaani mahari haimaliziwi.
Kijana akamtafuta yule binti akamuuliza vp mbona mambo yameenda ndivyo sivyo, alipanga 2.5 wametajiwa 5.
Binti akamjibu kuwa yeye yupo na ndugu zake lazima mila ifuatwe.
Kijana akasema sawa ngoja nikajipange tena nitarudi nikikamilisha.
Ila septemba hii jamaa ananimbia anafikiria kughairi lile swala lake.
Mimi nikamwambia hakikisha ili lak 5 yako unarudishiwa [emoji23][emoji23][emoji23] .
Hapo ingekua mm namkopa demu laki 5 afu namchana tumemalizana kihivyoNi kijana mwenzangu sekta ya afya, mwaka huu mwanzoni aliamua kwenda kutoa posa kwa binti ambaye alipanga aanzishe naye familia.
Binti mwajiriwa wa serikali na asili yao ni kanda ya ziwa ila wanaishi na familia katika moja mikoa wa Pwani.
Mshenga alitumwa pamoja na baadhi ya wanafamilia wa kijana.
Kijana aliaandaa milioni 2 mfukoni siku hiyo ambayo alishika mjomba wake .
Kusikilizwa laki 2 , kishika uchumba laki 3 , wakatoa cash.
Mahari ikatajwa ng'ombe 10 @400,000/- jumla mil 4 na vitu vingine milioni 1, jumla ya mahari milioni 5 itolewe yote kwa pamoja bila kuacha deni
Mshenga akabembeleza pale ila wapi. Wakajibiwa kwa mila za kwao kupunguza mahari ni dharau , hilo Jambo haliwezekani.
Basi ule msafara wake ukarudi bila muafaka.
Kabla ya hapo Kijana alipanga na mchumba wake kuwa mahari itakuwa milioni 2.5 so yeye alijua akitoa milioni 2 akibakisha deni la laki 5, kama tunavyooambiana mtaani mahari haimaliziwi.
Kijana akamtafuta yule binti akamuuliza vp mbona mambo yameenda ndivyo sivyo, alipanga 2.5 wametajiwa 5.
Binti akamjibu kuwa yeye yupo na ndugu zake lazima mila ifuatwe.
Kijana akasema sawa ngoja nikajipange tena nitarudi nikikamilisha.
Ila septemba hii jamaa ananimbia anafikiria kughairi lile swala lake.
Mimi nikamwambia hakikisha ili lak 5 yako unarudishiwa [emoji23][emoji23][emoji23] .
Hii mbinu ya kibabe saana tia mimba waache waamue wao kupanga mahari ya kuoa au ya kubaki na binti na mtoto walee waoHivi bado mnalipa mahari mpaka leo? Kamata binti tia mimba wazazi waanze kumsaka baba wa mtoto, kisha unaenda kujitambulisha huku wewe ndiyo ukiwa man of the match.
Nakuapia hawawezi kukuringia maana wanajua kabisa hapa tukifanya mchezo tutalea mama na mtoto wake.
Tuache unyonge mwanaume sio kiumbe cha kulia lia kisa mapenzi. Tunapaswa kunyenyekewa na kuheshimiwa sana maana tumebaki wachache sana
Tena hata 3 mfululizo km hawajamuozesha bureAMPE MIMBA
Huyo mwanamke pamoja na familia yake hawafai..!!Ni kijana mwenzangu sekta ya afya, mwaka huu mwanzoni aliamua kwenda kutoa posa kwa binti ambaye alipanga aanzishe naye familia.
Binti mwajiriwa wa serikali na asili yao ni kanda ya ziwa ila wanaishi na familia katika moja mikoa wa Pwani.
Mshenga alitumwa pamoja na baadhi ya wanafamilia wa kijana.
Kijana aliaandaa milioni 2 mfukoni siku hiyo ambayo alishika mjomba wake .
Kusikilizwa laki 2 , kishika uchumba laki 3 , wakatoa cash.
Mahari ikatajwa ng'ombe 10 @400,000/- jumla mil 4 na vitu vingine milioni 1, jumla ya mahari milioni 5 itolewe yote kwa pamoja bila kuacha deni.
Mshenga akabembeleza pale ila wapi. Wakajibiwa kwa mila za kwao kupunguza mahari ni dharau , hilo Jambo haliwezekani.
Basi ule msafara wake ukarudi bila muafaka.
Kabla ya hapo Kijana alipanga na mchumba wake kuwa mahari itakuwa milioni 2.5 so yeye alijua akitoa milioni 2 akibakisha deni la laki 5, kama tunavyooambiana mtaani mahari haimaliziwi.
Kijana akamtafuta yule binti akamuuliza vp mbona mambo yameenda ndivyo sivyo, alipanga 2.5 wametajiwa 5.
Binti akamjibu kuwa yeye yupo na ndugu zake lazima mila ifuatwe.
Kijana akasema sawa ngoja nikajipange tena nitarudi nikikamilisha.
Ila septemba hii jamaa ananimbia anafikiria kughairi lile swala lake.
Mimi nikamwambia hakikisha ili lak 5 yako unarudishiwa [emoji23][emoji23][emoji23] .
Uzi ufungwe umemaliza kila kitu mkuu Mimi sina cha kuongezeaHivi bado mnalipa mahari mpaka leo? Kamata binti tia mimba wazazi waanze kumsaka baba wa mtoto, kisha unaenda kujitambulisha huku wewe ndiyo ukiwa man of the match.
Nakuapia hawawezi kukuringia maana wanajua kabisa hapa tukifanya mchezo tutalea mama na mtoto wake.
Tuache unyonge mwanaume sio kiumbe cha kulia lia kisa mapenzi. Tunapaswa kunyenyekewa na kuheshimiwa sana maana tumebaki wachache sana
Ampige pale CHINI mpaka amjaze MimbaHuyo mwanamke pamoja na familia yake hawafai..!!
Ampige chini tu
Unauza fence?Nasimama na mwamba akomae wampe Laki Tano yake .
Ni kijana mwenzangu sekta ya afya, mwaka huu mwanzoni aliamua kwenda kutoa posa kwa binti ambaye alipanga aanzishe naye familia.
Binti mwajiriwa wa serikali na asili yao ni kanda ya ziwa ila wanaishi na familia katika moja mikoa wa Pwani.
Mshenga alitumwa pamoja na baadhi ya wanafamilia wa kijana.
Kijana aliaandaa milioni 2 mfukoni siku hiyo ambayo alishika mjomba wake .
Kusikilizwa laki 2 , kishika uchumba laki 3 , wakatoa cash.
Mahari ikatajwa ng'ombe 10 @400,000/- jumla mil 4 na vitu vingine milioni 1, jumla ya mahari milioni 5 itolewe yote kwa pamoja bila kuacha deni.
Mshenga akabembeleza pale ila wapi. Wakajibiwa kwa mila za kwao kupunguza mahari ni dharau , hilo Jambo haliwezekani.
Basi ule msafara wake ukarudi bila muafaka.
Kabla ya hapo Kijana alipanga na mchumba wake kuwa mahari itakuwa milioni 2.5 so yeye alijua akitoa milioni 2 akibakisha deni la laki 5, kama tunavyooambiana mtaani mahari haimaliziwi.
Kijana akamtafuta yule binti akamuuliza vp mbona mambo yameenda ndivyo sivyo, alipanga 2.5 wametajiwa 5.
Binti akamjibu kuwa yeye yupo na ndugu zake lazima mila ifuatwe.
Kijana akasema sawa ngoja nikajipange tena nitarudi nikikamilisha.
Ila septemba hii jamaa ananimbia anafikiria kughairi lile swala lake.
Mimi nikamwambia hakikisha ili lak 5 yako unarudishiwa [emoji23][emoji23][emoji23] .
Ilitakiwa iwe rahisi anamwambia mshenga kawambie hizo hela hatuna siku tukijalliwa inshallah tutakuja tuombe uhai sisi hela tuliyonayo ni hii tu ikikamilika tutakuja InshallahMbona amechukua muda kughairi ilitakiwa siku ile ile amwage mboga
Tutaande Mahakamani alafu mengine yatajulikania Huko.Kama alitest mitambo sijui kama watamrudishia ...wataitwa mashangazi kupima