Mahari ni lazima, usidanganyike binti

Mahari ni lazima, usidanganyike binti

Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja .

Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150.
Yaan hao umeanza kufuga na kuchunga tangu ukiwa umeanza kutembea ukapewa ndama wawili uanze nao hao, mpaka unafikisha miaka 40 wewe ni tajiri wa mang'ombe tu unamiliki ng'ombe 100,000+ ng'ombe 150 kitu gani?

Maua Mzee Laizer hajambo?
 
Back
Top Bottom