hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,853 Reaction score 4,552 Nov 3, 2026 #81 Mwanamke BIKRA pekee ndo anapaswa kutolewa MAHARI ikiwezekana kuidai kabisa
AXIOM APEX VERBOSE JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 13,769 Reaction score 23,676 Nov 3, 2026 #82 SweetyCandy said: Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja . Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150. Click to expand... Yaan hao umeanza kufuga na kuchunga tangu ukiwa umeanza kutembea ukapewa ndama wawili uanze nao hao, mpaka unafikisha miaka 40 wewe ni tajiri wa mang'ombe tu unamiliki ng'ombe 100,000+ ng'ombe 150 kitu gani? Maua Mzee Laizer hajambo?
SweetyCandy said: Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja . Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150. Click to expand... Yaan hao umeanza kufuga na kuchunga tangu ukiwa umeanza kutembea ukapewa ndama wawili uanze nao hao, mpaka unafikisha miaka 40 wewe ni tajiri wa mang'ombe tu unamiliki ng'ombe 100,000+ ng'ombe 150 kitu gani? Maua Mzee Laizer hajambo?