Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 2,760
- 5,144
Mhhh... kwani ukiichungulia huwezi kuiona?lazima ufunue ch*p uone kuna ukweli unaweza kuuziwa mbuzi kwenye gunia hana bikra zote mbili.
Mhhh... kwani ukiichungulia huwezi kuiona?lazima ufunue ch*p uone kuna ukweli unaweza kuuziwa mbuzi kwenye gunia hana bikra zote mbili.
unaweza kuona hadi moyo ila wapo wengine unakuta amepita na wanaume wawili kumjua mpaka ufanye naye mapenzi.Mhhh... kwani ukiichungulia huwezi kuiona?
Dhana ya mahari tu inamdhalilisha mwanamke.Ukitajiwa mahari ambayo haiendani na uwezo wako unatemana nao
Sio makanisa yote.Kwa Sasa ivi pesa mbele kama tai hata kanisani mwenye pesa anathaminiwa sana hakuna Cha utakatifu pesa kwanzaa
Unaongea upumbavu!Unakuta jitu limekubuku, mitalimbo isiyo na idadi imepita, eti unatoa mahari wakati wenzio wanatifua bure.
Vijana msifanye huu ujinga.
Kama bikra sawa lipa mahali siyo jitu linaliwa bure kila siku eti wewe utoe mahari.
Sidhanii kama mahari iliwekwa ili muoaji alipie gharama za matunzo au malezi kwa binti. Labda sijui, ila ninavyoelewa mimi huwa ni alama tu ya kuonyesha heshima kwa walezi.Siku kijana anapowekewa karatasi yenye mahesabu ya ada za chuo, gharama za chakula cha miaka 20 iliyopita, na orodha ya samani za kifahari ili tu aruhusiwe kumwoa mwanamke anayempenda, anagundua kuwa hajawahi kuwa kwenye mazungumzo ya familia bali yupo kwenye mnada wa biashara.
Mtego huu wa kisaikolojia umegeuza moja ya mambo matakatifu zaidi katika utamaduni wetu kuwa utapeli wa kisheria na mbinu ya kumliza kijana anayejaribu kujenga maisha.
Huko nyuma, mila zetu hazikuwahi kumtazama mwanamke kama bidhaa ya dukani yenye thamani. Mahari haikuwahi kuwa bili ya kulipia malezi wala mtaji wa kuitajirisha familia ya msichana. Ilikuwa ni agano la heshima, shukrani ya dhati kwa wazazi, na daraja la kuunganisha damu ya ukoo mmoja na mwingine. Haikuwa na shinikizo, wala haikumfanya mwanamume aingie kwenye madeni.
Lakini leo hii, mfumo huu wa heshima umechafuliwa na ulafi wa kifedha:
Zamani mazungumzo ya mahari yalikuwa ya kirafiki na yenye busara. Leo hii wazazi wanakaa mezani na daftari la risiti: wanapiga hesabu za ada zote alizosoma binti tangu chekechea, nguo alizovishwa, na simu anayotumia. Wanamsukumia kijana kukimbilia mikopo ya benki yenye riba kubwa, akianza ndoa yake akiwa anafukuzwa na msongo wa mawazo wa madeni badala ya kufurahia upendo.
Wanaume wema, wenye maono, nidhamu, na upendo wa dhati wanatupiliwa mbali kwenye viti vya majadiliano kwa sababu tu hawana uwezo wa kulipia "bei ya soko" iliyowekwa na familia. Matokeo yake? Binti anaachwa akae nyumbani akizeeka, au anaozeshwa kwa mtu asiye na tabia njema ilimradi tu ana fedha za kulipia bili hiyo ya dhuluma.
Mahari inapogeuka kuwa muamala wa kifedha, inavua kabisa utakatifu wa ndoa na kuweka unyonyaji badala ya umoja. Utamaduni ulilenga kulinda na kuunganisha jamii, siyo kufanya biashara ya watoto wetu.
Ukweli mchungu ni huu: Ukiuza binti yako kama bidhaa dukani, usishangae mkwe wako akimchukulia kama mali aliyoinunua kwa pesa yake badala ya mwanamke anayepaswa kuheshimiwa na kupendwa!
Wewe katoe mahari kwa hayo ambayo hayakujitunza, mtaa mzima wamekula bure eti wewe unalipa mahari ndo unajiona mjanja.Unaongea upumbavu!
Mahari ni lazima!A
Wewe katoe mahari kwa hayo ambayo hayakujitunza, mtaa mzima wamekula bure eti wewe unalipa mahari ndo unajiona mjanja.
Katoe sasa maana ni lazima. Ila kama una mawazo kama yangu siyo lazima.Mahari ni lazima!
tena unakuta wanatifua 071 na wewe unabaniwa naniliu tuu na ndimu inawekwaUnakuta jitu limekubuku, mitalimbo isiyo na idadi imepita, eti unatoa mahari wakati wenzio wanatifua bure.
Vijana msifanye huu ujinga.
Kama bikra sawa lipa mahali siyo jitu linaliwa bure kila siku eti wewe utoe mahari.
Ivi Adam na Hawa baada ya kujua kuwa wamekuwa mume na mke Adam alilipa mahari kwa ajili ya Hawa? Kama alilipa alimlipa nani? Na kama hakulipa utaratibu wa mahari ulitoka wapi? Nisaidie tuepukane na mgogoro wa Maisha ya ndoa.Hivi wazungu uwa wanatoa mahari kama sisi ?