Mahari ni mnada wa mwanamke au Ndoa Takatifu?

Unakuta jitu limekubuku, mitalimbo isiyo na idadi imepita, eti unatoa mahari wakati wenzio wanatifua bure.
Vijana msifanye huu ujinga.
Kama bikra sawa lipa mahali siyo jitu linaliwa bure kila siku eti wewe utoe mahari.
Unaongea upumbavu!
 
Sidhanii kama mahari iliwekwa ili muoaji alipie gharama za matunzo au malezi kwa binti. Labda sijui, ila ninavyoelewa mimi huwa ni alama tu ya kuonyesha heshima kwa walezi.
 
Unakuta jitu limekubuku, mitalimbo isiyo na idadi imepita, eti unatoa mahari wakati wenzio wanatifua bure.
Vijana msifanye huu ujinga.
Kama bikra sawa lipa mahali siyo jitu linaliwa bure kila siku eti wewe utoe mahari.
tena unakuta wanatifua 071 na wewe unabaniwa naniliu tuu na ndimu inawekwa
 
Hivi wazungu uwa wanatoa mahari kama sisi ?
Ivi Adam na Hawa baada ya kujua kuwa wamekuwa mume na mke Adam alilipa mahari kwa ajili ya Hawa? Kama alilipa alimlipa nani? Na kama hakulipa utaratibu wa mahari ulitoka wapi? Nisaidie tuepukane na mgogoro wa Maisha ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…