Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Wanawake wengine akili zao kama urefu wa funza! Anafikiri hiyo mipingili ilivyojazana ndo ina halalisha hiyo mahali. Anajidanganya sababu hajatotoa bado...ngoja apate kifaranga hata mmoja tuone huo mwili utakavyo momonyoka ki vi-wonder..






Mwanamke akikosa akili na ufahamu......huumia zaidi!
 
kuna mwenzake alisemaga Mil 500 nashangaa mpaka leo anapambana na stress zake ( anajiita ze bowse)
 
Mshenzi nn huyu. Mtu mwenyewe uwnja full used to extreme umelegea kama rababend ya muuza ng'ombe.
 
Whay is so spesho kwake, si afadhali nikaoe kijijini mwanamke anayejiheshimu sio type ya hawa wanaojianika kila mara mtandaoni
 
kwa miguu hiyo km ana matende ndio mtu utoe 20m?hakuna wa kutoa hiyo pesa kwenye awamu hii,watu watajipigia na kusepa kama kawa.
 
Nani akabebe maradhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…