Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,767
Wanawake wengine akili zao kama urefu wa funza! Anafikiri hiyo mipingili ilivyojazana ndo ina halalisha hiyo mahali. Anajidanganya sababu hajatotoa bado...ngoja apate kifaranga hata mmoja tuone huo mwili utakavyo momonyoka ki vi-wonder..
Mwanamke akikosa akili na ufahamu......huumia zaidi!
Mwanamke akikosa akili na ufahamu......huumia zaidi!