Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Akivua nguo zote ni mwanamke tu,tena unaweza shangaa bora Paprika anakuwa wa maana kuliko huyu kifutu.
 
Apige zoezi apungue kidogo, sionagi uzuri wa huyu dada
Demu ni mzuri, ila changamoto ninayoipata ni kwamba yeye hajali anaolewa na nani so long as mtu ana 20m kwake yeye ni twende kazi. Nahisi mahusiano kuelekea kwenye ndoa yako kwenye kipindi cha mpito.
 
Demu gani huyu miguu ka ana matende,kichwa kikubwa na sura pana kama Zinjanthropus ,nywele kama mazombi wa muvi ya wrong turn, kwa mwili huu atakua na tako gumu kama mkate uliochacha na kulala wiki nzima kabatini
Hata bure sioi huyu[emoji41] [emoji41] [emoji41]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo mahari ni wowowo tu au kuna kingine.Maana sidhani kama bei elekezi ya wowowo ishafika milion 20[emoji23]
 
Back
Top Bottom