Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimtoa kwa nani?? Alimkuta wapi ??? Alimkuta kwa MTU akaamua kumnyang'anya Ivan .....Diamond asingemuona Zari !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitakushitua mkuuAkifika Mahari ya Mbuzi mmoja na Kanga mnishtue
Du unanua ghorofa[emoji12] [emoji12] [emoji12]Akifika 100milioni,niambie[emoji135][emoji135][emoji135]
[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeua mkuuHuyu akizaa utamkimbia atakuwa Kama PePe Kale
Mtafute muulize [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inawezekana ndio maana mahari kubwaTg ANATOA?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najaribu kuimagini kifo cha mende hapa na hizo pichaKifo cha mende kinakuwa kifo kweli
Mkuu mbona waguna
Kumbe mchaga du hatariyaani wachaga bwana ashafanya hiyo nanilii ndo ya kuitoa familia yake kimaisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo sawa
Demu ni mzuri, ila changamoto ninayoipata ni kwamba yeye hajali anaolewa na nani so long as mtu ana 20m kwake yeye ni twende kazi. Nahisi mahusiano kuelekea kwenye ndoa yako kwenye kipindi cha mpito.Apige zoezi apungue kidogo, sionagi uzuri wa huyu dada
Masogange habari nyingineSijaona lolote zaidi ya miguu kama matende,huyo na Masogange wakiwekwa niambie chagua namchagua Agnes Masogange
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Demu gani huyu miguu ka ana matende,kichwa kikubwa na sura pana kama Zinjanthropus ,nywele kama mazombi wa muvi ya wrong turn, kwa mwili huu atakua na tako gumu kama mkate uliochacha na kulala wiki nzima kabatini
Hata bure sioi huyu[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Naangalia kama sinema..Mkuu mbona waguna
Kabisa mkuu kumbe nawe umelionaHamna kitu hapo....atakayemuoa huyo ajipange sana
Uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu, mimi hapana aiseeDemu ni mzuri, ila changamoto ninayoipata ni kwamba yeye hajali anaolewa na nani so long as mtu na 20m kwake yeye ni twende kazi. Nahisi mahusiano kuelekea kwenye ndoa yako kwenye kipindi cha mpito.