kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,491
MILA YA BONGO MOVIE.WOTE MAHALI NA WANAUME WANATUFUTWA NA STEVE NYEREREnitajie Mila za ktanzania ambazo mahali anapanga muolewaji kama siyo hizo Mila za wasanii na hawa wavaa Uchi kwenye Magazeti... Nitajie hata kabila ambalo Mwanamke aliyekulia kwenye maadili ya kujiheshimu anayejipangia Mahali....?
Kila mwanaadamu na chaguo lake lakini huyu hata milioni 1 mimi sitoi achilia hio million 20.[emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
HILO HATA SIO TAMU NI KAMA UNAKULA MABUAmillion? !!! Hata laki moja sitoi,hhayo ni kama Jeneza la mapambo tu,uzzuri wake kuangalia kwa nje!!!
hapo sawa au wakati mwingine wanajilipia wao wenyewe ili tu waolewe,... Lakini Mila hizi Utamaduni wa Kitanzania hakuna Mwanamke anayejipangia MahaliMILA YA BONGO MOVIE.WOTE MAHALI NA WANAUME WANATUFUTWA NA STEVE NYERERE
Kwa dini ya kiislam mahali anataja bi harusi mwenyewe, na ni ya muolewaji mwenyewe wazazi unawapa ukipenda kwa heshma.nitajie Mila za ktanzania ambazo mahali anapanga muolewaji kama siyo hizo Mila za wasanii na hawa wavaa Uchi kwenye Magazeti... Nitajie hata kabila ambalo Mwanamke aliyekulia kwenye maadili ya kujiheshimu anayejipangia Mahali....?
Maviazi makubwa sana kha ...yamepoteza mvutoilaa amejaziaa balaa
Kila mwanaadamu na chaguo lake lakini huyu hata milioni 1 mimi sitoi achilia hio million 20.[emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
utoe mahari mil 20 halafu awe tope tu si unatema mzigo kabla ya wiki haijaisha
Ana mbuye ya Tanzanite kwamba inapatikana kwake tu...
UMEMALIZA!!! ATAKUWA KAMA PEPE KALE NA HUO MWILI SINKI YA CHOO NI GHARAMA, KITANDA GHARAMA.NASIJUI KAMA ATAKUWA ANAJITUMA KWA SITA KWA SITA.AKILULALIA JUU ITAKUWAJEHuyu akizaa utamkimbia atakuwa Kama PePe Kale
NI MCHAGA WA WAPI NA MIGUU YOTE HII?Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana Kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume Mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa Sasa ajiandae kutoa million 20.
Mahari yake imepanda ghafla kutoka million 10 mpaka million 20 baada ya kushinda shindano la Ijumaa Figa Bomba Girl 2017 lililo andaliwa
na Global Publisher.
Hizi ni baadhi ya picha akiwa kwenye office ya Global Publisher akisubiri mahojiano baada ya kushinda.
View attachment 614892
View attachment 614889
View attachment 614890
UNAHITAJI KUJIFUNZA KUANDIKASawa sanchi tumekuelewa .
Wamawake wanaotakaga maali kubwa ,,huwa wadumu ktk ndoa sababu wazo lake nikuolewa Mara kwamara ili atolewe mahali pia Mara kwa Mara !!.
Nachofurahia nikwamba ,, mwisho wasiku hawaolewagi ,,anakuja kuitaji mwanamme kwa maali ya japo laki tano,,, lkn bado anakosa ,sababu kuu mbili :-
1--- hakuna mwanamme anayependa makomboo yalochacha (kuna makombo yako vizur).
2-- Ngozi inakua ishavuta ( siwez oa Mzee ).
Nakwahuo mwili wake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , niwaombee wana JF uzima na afya ,,tukutane wote pamoja baada ya miaka 7 ijayo ..** Sanchoka atakua kweli ni "Saa nishachoka , mwanamme anayetaka mtoto aje nmzalie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..nabado hatutaenda ng'ooooo ..ye ngoja saiz atutese.
Nijute au kwa nimpigie promo kwa kipi Kikubwa hasa Sina udugu nae, alafu hujuii upo jukwaa gani. Usijitoe Akili mwanaume mzima unakua unashobokaHuyu aliyempigia mwezake promo atajuta, maana shombo za humu mmm! sijui walikaa wakashauriana waweke upupu huku.
Hii ndio miguu ya kuvaa kimini sio wengine miguu kama speedo anatundika mini lake.Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana Kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume Mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa Sasa ajiandae kutoa million 20.
Mahari yake imepanda ghafla kutoka million 10 mpaka million 20 baada ya kushinda shindano la Ijumaa Figa Bomba Girl 2017 lililo andaliwa
na Global Publisher.
Hizi ni baadhi ya picha akiwa kwenye office ya Global Publisher akisubiri mahojiano baada ya kushinda.
View attachment 614892
View attachment 614889
View attachment 614890
Hahahahahahah kama nyanya ishakua masalo, sasa kitumbua kitakuaje?Tunasubili bei ya jioni ndo tununue bidhaa