Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

nitajie Mila za ktanzania ambazo mahali anapanga muolewaji kama siyo hizo Mila za wasanii na hawa wavaa Uchi kwenye Magazeti... Nitajie hata kabila ambalo Mwanamke aliyekulia kwenye maadili ya kujiheshimu anayejipangia Mahali....?
MILA YA BONGO MOVIE.WOTE MAHALI NA WANAUME WANATUFUTWA NA STEVE NYERERE
 
MILA YA BONGO MOVIE.WOTE MAHALI NA WANAUME WANATUFUTWA NA STEVE NYERERE
hapo sawa au wakati mwingine wanajilipia wao wenyewe ili tu waolewe,... Lakini Mila hizi Utamaduni wa Kitanzania hakuna Mwanamke anayejipangia Mahali
 
nitajie Mila za ktanzania ambazo mahali anapanga muolewaji kama siyo hizo Mila za wasanii na hawa wavaa Uchi kwenye Magazeti... Nitajie hata kabila ambalo Mwanamke aliyekulia kwenye maadili ya kujiheshimu anayejipangia Mahali....?
Kwa dini ya kiislam mahali anataja bi harusi mwenyewe, na ni ya muolewaji mwenyewe wazazi unawapa ukipenda kwa heshma.
 
Ni kutafuta umaarufu tu, mi mwenyewe nilikuwa simjui nimemfahamu kupitia uzi huu.
 
Kila mwanaadamu na chaguo lake lakini huyu hata milioni 1 mimi sitoi achilia hio million 20.[emoji111]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 hata buku 5 mm sitoi akiaza kulegea nyama hizo ni majanga
 
Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana Kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume Mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa Sasa ajiandae kutoa million 20.

Mahari yake imepanda ghafla kutoka million 10 mpaka million 20 baada ya kushinda shindano la Ijumaa Figa Bomba Girl 2017 lililo andaliwa
na Global Publisher.

Hizi ni baadhi ya picha akiwa kwenye office ya Global Publisher akisubiri mahojiano baada ya kushinda.
View attachment 614892

View attachment 614889

View attachment 614890

NI MCHAGA WA WAPI NA MIGUU YOTE HII?
 
Sawa sanchi tumekuelewa .

Wamawake wanaotakaga maali kubwa ,,huwa wadumu ktk ndoa sababu wazo lake nikuolewa Mara kwamara ili atolewe mahali pia Mara kwa Mara !!.

Nachofurahia nikwamba ,, mwisho wasiku hawaolewagi ,,anakuja kuitaji mwanamme kwa maali ya japo laki tano,,, lkn bado anakosa ,sababu kuu mbili :-
1--- hakuna mwanamme anayependa makomboo yalochacha (kuna makombo yako vizur).
2-- Ngozi inakua ishavuta ( siwez oa Mzee ).

Nakwahuo mwili wake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , niwaombee wana JF uzima na afya ,,tukutane wote pamoja baada ya miaka 7 ijayo ..** Sanchoka atakua kweli ni "Saa nishachoka , mwanamme anayetaka mtoto aje nmzalie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..nabado hatutaenda ng'ooooo ..ye ngoja saiz atutese.
UNAHITAJI KUJIFUNZA KUANDIKA
 
Na mamiguuu kama kitimotoo hayoooo...!! Wadada wanadhanii kuwa na matakoo bhasi ndo kuwin maishaa.. Au qumaa yaked ya dhahabuu..!?? Akafiee mbelee hukoo
 
Huyu aliyempigia mwezake promo atajuta, maana shombo za humu mmm! sijui walikaa wakashauriana waweke upupu huku.
Nijute au kwa nimpigie promo kwa kipi Kikubwa hasa Sina udugu nae, alafu hujuii upo jukwaa gani. Usijitoe Akili mwanaume mzima unakua unashoboka
 
Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana Kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume Mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa Sasa ajiandae kutoa million 20.

Mahari yake imepanda ghafla kutoka million 10 mpaka million 20 baada ya kushinda shindano la Ijumaa Figa Bomba Girl 2017 lililo andaliwa
na Global Publisher.

Hizi ni baadhi ya picha akiwa kwenye office ya Global Publisher akisubiri mahojiano baada ya kushinda.
View attachment 614892

View attachment 614889

View attachment 614890

Hii ndio miguu ya kuvaa kimini sio wengine miguu kama speedo anatundika mini lake.
 
Back
Top Bottom