Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Mtafuteni baada ya miaka kumi huyu mtakuja kuniambia.......hayo manyama yakilala MUNGU wangu huyo atayemchukua atajiuliza mara mbili mbili kuwa alilrogwa ama nini wakati anamzengea!
 
Hilo dau ni hatar,pia kuhusu figa,kwangu kawaida,sababu napenda modo au english figue
 
Wanaume huwa mnapenda muonekano upi wa wanawake?? Wengi wenu mnasema mnapenda chura yaani mamisambwanda mizigo ya ukweli lkn hapa comments zenu karibia zote mmeponda ilhali mdada ana umbo bomba sura tu kanyimwa
 
Wee takoo halina shidaa... ilaa ilee Miguuu umeionaa..!??
 
Back
Top Bottom