Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa sasa ajiandae kutoa million 20.

Mahari yake imepanda ghafla kutoka million 10 mpaka million 20 baada ya kushinda shindano la Ijumaa Figa Bomba Girl 2017 lililoandaliwa na Global Publishers.

Hizi ni baadhi ya picha akiwa kwenye office ya Global Publisher akisubiri mahojiano baada ya kushinda.

View attachment 614892

View attachment 614889

View attachment 614890
Ana kipi hapa cha kuozeshwa kwa mahari hiyo


Au hiyo miguu kama viazi vitamu vilivyokaa muda mrefu ardhini
 
Guu baaaaaayaaa.....ata lak 5 sitoi....1[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Kajaaliwa kwel kwel ila uzee haupo mbali unamnyemelea na huo mwili teke teke baada ya miaka 5 atakua kibibi
 
she has curved body ,but must reduce weight to be beautiful
 
huyo ndo wa milion 20 kwel ?my be she is kiding us .she cant be seriously with that look demànding such amount my be the woman is dreaming
 
Back
Top Bottom