Mahari yazua kizazaa

Mahari yazua kizazaa

Sasa kama ni shukrani ya kunilelea msichana wangu kwanini wasije kulipa na kwa wazazi wangu pia kama shukrani coz hata mimi nimelelewa kama yeye mi nafikili sio vizuri kuwepo mambo ya kupangiana mahari ibaki ni kama shukrani tu pale mtu anapoguswa na sio kupangiana viwango inakua kama nimenunua mke bwana.
Nafikiri mahari ni kama token of appreciation kwa kijana kwenda kwa wakwe zake kuwahsukuru kwa kumlea binti ambaye muda si mrefu anaenda kuwa mke wake. Kwa zamani ili kuwa ni maidadi ya kutosha ya ng'ombe na mbuzi na mpaka baadhi ya makabila ya kitanzani ilikuwa kuwa na mtoto wa kike ni "deal"!

Kwa siku za hivi karibuni mambo yamebadilika, mahari inachukua mfumo nilioulezea hapo juu, kama asante fulani kwa wazazi kumlea binti ambaye kijana anataka kumuoa. Kwa fikra zangu nafikiri haina kiwango maalum na haipaswi kuwa na kiwango maalumu, ila kiwe kiwango ambacho ni reasonable na siyo cha kukomoana na ambacho kijana anaweza kukilipa.

Ila wapo wazee wengine bado wana fikra za zamani na wanageuza suala la binti zao kuolewa ni kama mtaji kwao. Nafikiri kwa kesi kama hizo ni vyema wazee hao wakashauriwa na wazee wengine wenye uelewa mkubwa zaidi wa haya mambo.
 
Hii kitu bwana HorsePower bora tuachane nayo coz ni moja ya vihoja vya Africans hiyo shukrani unafikili inaweza kucompasate gharama alizoingia mzazi kumlea binti ake? Na je kwa nini wasiende kulipa kwa mzazi wa mwanaume in short hii kitu ni NON SENSE kabisa
Nafikiri mahari ni kama token of appreciation kwa kijana kwenda kwa wakwe zake kuwahsukuru kwa kumlea binti ambaye muda si mrefu anaenda kuwa mke wake. Kwa zamani ili kuwa ni maidadi ya kutosha ya ng'ombe na mbuzi na mpaka baadhi ya makabila ya kitanzani ilikuwa kuwa na mtoto wa kike ni "deal"!

Kwa siku za hivi karibuni mambo yamebadilika, mahari inachukua mfumo nilioulezea hapo juu, kama asante fulani kwa wazazi kumlea binti ambaye kijana anataka kumuoa. Kwa fikra zangu nafikiri haina kiwango maalum na haipaswi kuwa na kiwango maalumu, ila kiwe kiwango ambacho ni reasonable na siyo cha kukomoana na ambacho kijana anaweza kukilipa.

Ila wapo wazee wengine bado wana fikra za zamani na wanageuza suala la binti zao kuolewa ni kama mtaji kwao. Nafikiri kwa kesi kama hizo ni vyema wazee hao wakashauriwa na wazee wengine wenye uelewa mkubwa zaidi wa haya mambo.
 
Last edited by a moderator:
Unataka kuoa bila kulipa mkwaja wa mama? Hatutacheza mdundiko.
 
Hao wazazi wanatamaa tu na si kingine..
Nijuavyo mimi 'mahari' ni kitu kitolewacho na kijana, kwenda kwa wazazi wa binti aliyempenda,ikiwa ni Kama shukurani kwa hao wazazi.
Mahari si lazima wazazi wa binti waipange maana ni shukurani tu.
Umuhimu wa mahari ni kuonesha uthamani kwa mwenza wako, japo wengine wanafanya mahari kama mtaji au fidia ya matunzo kwa mabinti zao.

Wazazi wa aina hiyo inabidi wabadilike..

Mambo haya discussion inaruhusiwa hivyo wakati mwingine ni kipimo kuonyesha upo serious kiasi gani maana ukikata tamaa kwa hiyo 5million utaonekana ni mtu wa kukimbia matatizo, peleka jembe makini litakalokuwakilisha vyema. Haya mambo ni kama unavyo bargain na mmachinga anakutajia kitu 15,000 alafu unachua kwa buku tatu hivyo hata hapa unaweza kushushiwa mpaka kilo 9 na bado usizilipe zote.
 
Ndugu Mtaftaji huku ni kurudishana nyuma we mil 5 kwa mtu anae anza maisha ni kubwa mno
Naunga mkono hoja,masharo waskuizi c wamezoea mteremko,wezenu walikua wanapigana mpk wanauana ndo wanapata mke,au wanapigwanisha na cmba kifanikiwa kumuua ndo apewe mke,waliwajali na kuwathamini kwakua wanajua tabu na adha walizozipata ktk kuwapata,nyie "KAMATA MWIZI MEN"Mnataka kuteremka.akachangishane na ndg aoe km amependa mtt.
 
Unatoa Millioni moja afu anakucheat kama kawaida..
Tufanyeje sasa..ndo kiafrica africa ivo.

Kaoe mbeya sasa uone moto wake
 
Its real, inawezekana wazazi wa huyo binti wanataka like wamkomoe huyo kaka, bt pia inawezekana wazazi wanajua bint yao ana somthng so special das why wakaamua kutaja mahari kubwa, km vp huyo kaka a hustle apate hyo pesa ili awaaibishe hao wakwe mana nahc ndo wanachokitafuta.
 
Wakwe ni WACHAGA anasema wanahisi anapata mshahara mkubwa kisa anafanya kazi bank

Kwa hiyo ndo wanataka kumalizia matatizo yao yote kwake? Kwani akishaoa hatasaidia tena?

Mbona kuna Wachagaa poa tu?
 
Its real, inawezekana wazazi wa huyo binti wanataka like wamkomoe huyo kaka, bt pia inawezekana wazazi wanajua bint yao ana somthng so special das why wakaamua kutaja mahari kubwa, km vp huyo kaka a hustle apate hyo pesa ili awaaibishe hao wakwe mana nahc ndo wanachokitafuta.

Mahari kubwa ni sawa na kumuuza binti.

Kesho yake mume anajisikia entitled kumtumikisha mke kwa sababu "kamnunua" kwa mahari.
 
......Daudi aliambiwa atoe mahari ya magovi mia ya wafilisti ili amuoe Tamari na akafanya hivyo, Yakobo alitumika miaka 14 kuoa Raheli na Leah, acha kushangaa milioni 5.............
 
jamaa yangu kaambiwa apeleke milion 5 ili amuoe binti yao na jamaa ndo kwanza kapata kazi(bank teller) wazazi hawataki kulipwa nusu nusu.Jamaa amekasirika hadi kufikia kutaka kuamua kuvunja uhusiano.

mwambie akanunue mbuzi wa maziwa atapata faida zaidi kuliko huyo mwanamke,hao sio wazazi bali ni mabazazi tena kupe wakubwa
 
Back
Top Bottom