mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Huyu mjinga amedai kuanzia SASA watu wataanza kupigwa mabomu. Huyu hafai akichekewa ataleta msiba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipeni moyoMimi nashauri Lisu aachwe aropoke atakavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta.
Wote tunajua hata shinda. Hivyo aachwe tutamfundisha sisi wananchi kwenye box la kura.
Aachwe aendelee kuropoka kwa ajili ya kujitibu kwa yaliyomsibu.
Ccm wote ni makopo tuDebe tupu na wa boda boda ni debe lililojaa!? Wa kutamba kuwa amemwandikia barua Lisu kumbe hajaandika naye ni debe lililojaa...!?
Wadogo zangu Dr.Mahera na Nyahoza mmeniangusha sana. Nia ya kukisaidia chama chetu cha CCM mnayo. Uwezo mnao. Nguvu mnazo. Kwanini hamna maarifa? Dr. Mahera umejitokeza mbele ya watanzania na kuhabarisha kuwa mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu amekiuka Kanuni za Maadili ya Uchaguzi. Ukasema kuwa una nguvu na mamlaka ya kushughulika na hilo. Ukatamba kuwa tayari 'umeshamlima' Lissu barua ajitokeze mbele ya Kamati ya Taifa ya Maadili ya Uchaguzi.
Dr. Mahera ukada wa CCM na 'ushushushu' ukakuumbua. Ukakusukuma kusema visivyotakiwa kusemwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC inayosimamia uchaguzi husika. Ukamwaga sera za CCM na kuzikosoa waziwazi sera za Lissu. Ukakosoa na kuonesha Lissu anakosea bila ushahidi wowote wa maana zaidi ya kufokafoka. Ukashindwa kujizuia kabisa. Ukashindwa kuficha hisia zako dhidi ya Lissu huku ukimuunga mkono Dkt. Magufuli. Umeshindwa kabla ya kuanza!
Ndugu Nyahoza nawe umeningusha. Baada ya mkurugenzi wa Uchaguzi kutangaza kumwandikia barua Lissu, nawe jana ukapeleka barua kwa bodaboda CHADEMA. Ni barua ile ile ya Mkurugenzi au nawe umepandishia barua juu ya barua ili kumtinga Lissu na barua? Nawaambia ukweli, Dr. Mahera na Nyahoza hamkujipanga na kupangika. Muda huu wa kampeni, mbinu zinapaswa kuwa zilizopangika kimyakimya. Si hila za wazi kama zenu.
Hivi, Dkt. Magufuli wa CCM, tangu kuanza kwa kampeni zake, hakuwahi kuvunja Maadili ya Uchaguzi au yale ya vyama vya siasa? Mnatazamwa, mnafikiriwa. Watanzania si wajinga, nao wanaweza kutafakari na kung'amua. Kwa maneno na matendo yenu: Dr. Mahera na Nyahoza, jambo lolote dhidi ya Lissu ni batili kwakuwa mmeshaamua kabla ya kuitisha hivyo vikao vyenu.
Acheni demokrasia ichukue mkondo wake!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Mbeya, Tanzania).
Mimi nashauri Lisu aachwe aropoke atakavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta.
Wote tunajua hata shinda. Hivyo aachwe tutamfundisha sisi wananchi kwenye box la kura.
Aachwe aendelee kuropoka kwa ajili ya kujitibu kwa yaliyomsibu.
Huyu Phd Holder Mahere ndiye yule alifokewa na Dc Jerry Muro mbele ya Rc Gambo?
Enzi za Alhaj Mwinyi.Utamaduni wa kujiuzulu wafanyao madudu ulishaisha miaka mingi...
Ni teuzi ya ovyo kabisa.Mi sijui historia yake ya Utumishi Serikalini au ndani ya chama na uzoefu alionao kulingana na unyeti wa majukumu aliyopewa ukizingatia alikuwa mkurugenzi wa halmashauri. Nahisi majukumu aliyopewa yapo juu ya uwezo na uzoefu wake wa utendaji.
Wakati mwingine teuzi zisiwapime watu kwa vigezo vya ngazi za elimu walizofikia. Elimu yetu tunaijua. Elimu , ufanisi na uzoefu wa majukumu yao ya awali ufanyiwe tathmini ya kina kabla ya uteuzi.
Mzee Tupatupa upitie Ndizi hapa uyole unavyotoka iyunga umenifanya nifurahi leo.Wadogo zangu Dr.Mahera na Nyahoza mmeniangusha sana. Nia ya kukisaidia chama chetu cha CCM mnayo. Uwezo mnao. Nguvu mnazo. Kwanini hamna maarifa? Dr. Mahera umejitokeza mbele ya watanzania na kuhabarisha kuwa mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu amekiuka Kanuni za Maadili ya Uchaguzi. Ukasema kuwa una nguvu na mamlaka ya kushughulika na hilo. Ukatamba kuwa tayari 'umeshamlima' Lissu barua ajitokeze mbele ya Kamati ya Taifa ya Maadili ya Uchaguzi.
Dr. Mahera ukada wa CCM na 'ushushushu' ukakuumbua. Ukakusukuma kusema visivyotakiwa kusemwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC inayosimamia uchaguzi husika. Ukamwaga sera za CCM na kuzikosoa waziwazi sera za Lissu. Ukakosoa na kuonesha Lissu anakosea bila ushahidi wowote wa maana zaidi ya kufokafoka. Ukashindwa kujizuia kabisa. Ukashindwa kuficha hisia zako dhidi ya Lissu huku ukimuunga mkono Dkt. Magufuli. Umeshindwa kabla ya kuanza!
Ndugu Nyahoza nawe umeningusha. Baada ya mkurugenzi wa Uchaguzi kutangaza kumwandikia barua Lissu, nawe jana ukapeleka barua kwa bodaboda CHADEMA. Ni barua ile ile ya Mkurugenzi au nawe umepandishia barua juu ya barua ili kumtinga Lissu na barua? Nawaambia ukweli, Dr. Mahera na Nyahoza hamkujipanga na kupangika. Muda huu wa kampeni, mbinu zinapaswa kuwa zilizopangika kimyakimya. Si hila za wazi kama zenu.
Hivi, Dkt. Magufuli wa CCM, tangu kuanza kwa kampeni zake, hakuwahi kuvunja Maadili ya Uchaguzi au yale ya vyama vya siasa? Mnatazamwa, mnafikiriwa. Watanzania si wajinga, nao wanaweza kutafakari na kung'amua. Kwa maneno na matendo yenu: Dr. Mahera na Nyahoza, jambo lolote dhidi ya Lissu ni batili kwakuwa mmeshaamua kabla ya kuitisha hivyo vikao vyenu.
Acheni demokrasia ichukue mkondo wake!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Mbeya, Tanzania).
Mimi nashauri Lisu aachwe aropoke atakavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta.
Wote tunajua hata shinda. Hivyo aachwe tutamfundisha sisi wananchi kwenye box la kura.
Aachwe aendelee kuropoka kwa ajili ya kujitibu kwa yaliyomsibu.
Ndio yale yale ya kwenda na matokeo uwanjani.Labda unaanza kuwa na akili japo kauli yako unaitoa pasipo nidhamu na adabu....
Lakini bahati mbaya kwako ni kuwa, wenzio wameshajua kuwa ktk sanduku la kura (ballot box) Hamna chenu, meshakataliwa na watanzania, mmeshapigwa tayari na kugaragazwa....!!
The only way short cut ni kuhakikisha anaondolewa kwenye line something very impossible for 100%...
Mwaka huu ni mwisho wenu mbwa mwitu nyie....!!!!
Yah!Huyu Phd Holder Mahere ndiye yule alifokewa na Dc Jerry Muro mbele ya Rc Gambo?
Anadhalilisha sana PhD yake huyu jamaa. Wenye PhD wote wanaonekana hawana akili timamu kwa sababu yakeMAHERA ajipime ajiudhuru.Ni kiongozi asitefaa kuwapo pale tume ya uchaguzi.Yeye kama anaipenda CCM basi atumie kura yake binafsi kuipigia CCM na sio kuharibu uchaguzi
Walamba "masaburi" hawa, dunia inawaangalia tu, wao na vizazi vyao watalipa damu ya watanzania iliyomwagika na inayoendelea kumwagika.Wadogo zangu Dr.Mahera na Nyahoza mmeniangusha sana. Nia ya kukisaidia chama chetu cha CCM mnayo. Uwezo mnao. Nguvu mnazo. Kwanini hamna maarifa? Dr. Mahera umejitokeza mbele ya watanzania na kuhabarisha kuwa mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu amekiuka Kanuni za Maadili ya Uchaguzi. Ukasema kuwa una nguvu na mamlaka ya kushughulika na hilo. Ukatamba kuwa tayari 'umeshamlima' Lissu barua ajitokeze mbele ya Kamati ya Taifa ya Maadili ya Uchaguzi.
Dr. Mahera ukada wa CCM na 'ushushushu' ukakuumbua. Ukakusukuma kusema visivyotakiwa kusemwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC inayosimamia uchaguzi husika. Ukamwaga sera za CCM na kuzikosoa waziwazi sera za Lissu. Ukakosoa na kuonesha Lissu anakosea bila ushahidi wowote wa maana zaidi ya kufokafoka. Ukashindwa kujizuia kabisa. Ukashindwa kuficha hisia zako dhidi ya Lissu huku ukimuunga mkono Dkt. Magufuli. Umeshindwa kabla ya kuanza!
Ndugu Nyahoza nawe umeningusha. Baada ya mkurugenzi wa Uchaguzi kutangaza kumwandikia barua Lissu, nawe jana ukapeleka barua kwa bodaboda CHADEMA. Ni barua ile ile ya Mkurugenzi au nawe umepandishia barua juu ya barua ili kumtinga Lissu na barua? Nawaambia ukweli, Dr. Mahera na Nyahoza hamkujipanga na kupangika. Muda huu wa kampeni, mbinu zinapaswa kuwa zilizopangika kimyakimya. Si hila za wazi kama zenu.
Hivi, Dkt. Magufuli wa CCM, tangu kuanza kwa kampeni zake, hakuwahi kuvunja Maadili ya Uchaguzi au yale ya vyama vya siasa? Mnatazamwa, mnafikiriwa. Watanzania si wajinga, nao wanaweza kutafakari na kung'amua. Kwa maneno na matendo yenu: Dr. Mahera na Nyahoza, jambo lolote dhidi ya Lissu ni batili kwakuwa mmeshaamua kabla ya kuitisha hivyo vikao vyenu.
Acheni demokrasia ichukue mkondo wake!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Mbeya, Tanzania).
Yaani huyu jamaa JIWE ananisikitisha sana,juu ya kupiga magoti kwa ajili ya kuomba kura..vipaumbele vyake bado ni vile vile habadiriki...atleast ange change gear angani kwa kuacha kunadi mambo ya madege sijui viwanja vya ndege n.kMagu kapiga magoti kuomba kura..Lissu ongeza spana[emoji373][emoji373][emoji373][emoji373][emoji1009][emoji1010]
Kamsaidie jiwe kupiga goti,push this time haziuziki.Mimi nashauri Lisu aachwe aropoke atakavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta.