Uchaguzi 2020 Mahera (NEC) na Nyahoza (Naibu Msajili wa Vyama), kwanini hamkujipanga kabla ya kuonesha sinema yenu?

Huyu mjinga amedai kuanzia SASA watu wataanza kupigwa mabomu. Huyu hafai akichekewa ataleta msiba.
 
Mimi nashauri Lisu aachwe aropoke atakavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta.

Wote tunajua hata shinda. Hivyo aachwe tutamfundisha sisi wananchi kwenye box la kura.

Aachwe aendelee kuropoka kwa ajili ya kujitibu kwa yaliyomsibu.
Jipeni moyo
 
Hawana akili. Wasubiri kuchomewa nyumba zao na kuteketea kwa familia zao baada ya Uchaguzi. Manyau hayo.
 
Mimi nashauri Lisu aachwe aropoke atakavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta.

Wote tunajua hata shinda. Hivyo aachwe tutamfundisha sisi wananchi kwenye box la kura.

Aachwe aendelee kuropoka kwa ajili ya kujitibu kwa yaliyomsibu.

Magufuli hana sifa ya ushindi wa box la kura. Wananchi tunajitambua, hatuwapagi kura watu wanaoharibu maisha yetu kwa kusaka sifa binafsi, huku mishahara yao ikiwa palepale.
 
Ni teuzi ya ovyo kabisa.
 
Muvi LA kutisha waache mtanzania Nina neno LA kuongea 28/10/2020 ni yeye
 
Mzee Tupatupa upitie Ndizi hapa uyole unavyotoka iyunga umenifanya nifurahi leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nashauri Lisu aachwe aropoke atakavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta.

Wote tunajua hata shinda. Hivyo aachwe tutamfundisha sisi wananchi kwenye box la kura.

Aachwe aendelee kuropoka kwa ajili ya kujitibu kwa yaliyomsibu.

Labda unaanza kuwa na akili japo kauli yako unaitoa pasipo nidhamu na adabu....

Lakini bahati mbaya kwako ni kuwa, wenzio wameshajua kuwa ktk sanduku la kura (ballot box) Hamna chenu, meshakataliwa na watanzania, mmeshapigwa tayari na kugaragazwa....!!

The only way short cut ni kuhakikisha anaondolewa kwenye line something very impossible for 100%...

Mwaka huu ni mwisho wenu mbwa mwitu nyie....!!!!
 
Ndio yale yale ya kwenda na matokeo uwanjani.

Hata Mbowe mwenyewe akikusoma hapa ataishia kukucheka tu.
 
MAHERA ajipime ajiudhuru.Ni kiongozi asitefaa kuwapo pale tume ya uchaguzi.Yeye kama anaipenda CCM basi atumie kura yake binafsi kuipigia CCM na sio kuharibu uchaguzi
Anadhalilisha sana PhD yake huyu jamaa. Wenye PhD wote wanaonekana hawana akili timamu kwa sababu yake
 
Walamba "masaburi" hawa, dunia inawaangalia tu, wao na vizazi vyao watalipa damu ya watanzania iliyomwagika na inayoendelea kumwagika.
 
Magu kapiga magoti kuomba kura..Lissu ongeza spana[emoji373][emoji373][emoji373][emoji373][emoji1009][emoji1010]
Yaani huyu jamaa JIWE ananisikitisha sana,juu ya kupiga magoti kwa ajili ya kuomba kura..vipaumbele vyake bado ni vile vile habadiriki...atleast ange change gear angani kwa kuacha kunadi mambo ya madege sijui viwanja vya ndege n.k

Angejikita kwenye Afya
Maslai ya wafanyakazi
Mafao- ikiwemo kurudisha fao la kujitoa
Kuwajali wakulima na wavuvi
Kuondoa tozo za hovyo hovyo n.k

Hivi ile sera ya viwanda imekufia wapi?? Yaani nikikumbuka wakina mwijage walifikia kusema cherehani 4 ni kiwanda [emoji3][emoji3][emoji3] asee Viongozi wa Tanzania hawapo serious kwenye kuendesha nchi.
 
Mimi nashauri Lisu aachwe aropoke atakavyo maana ni sehemu ya tiba kwa yaliyomkuta.

Wote tunajua hata shinda. Hivyo aachwe tutamfundisha sisi wananchi kwenye box la kura.

Aachwe aendelee kuropoka kwa ajili ya kujitibu kwa yaliyomsibu.
Kamsaidie jiwe kupiga goti,push this time haziuziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…