Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Sequence of events:
- Suppose Kundi mojawapo katika wanaotaka nafasi hiyo wana mshikamano na Spika.
- Halafu mtu wao anateuliwa kuwa makamu wa rais.
- Bunge linampitisha kwa kauli moja, anaapishwa kuwa makamu wa rais
- Baada ya miezi michache wabunge wanaanza kuhoji ufanisi wa rais.
- Hoja ya kutokuwa na imani na rais inaletwa kwa mujibu wa ibara ya 46 ya katiba, spika anakubali ijadiliwe, na inapita kwa kauli moja na azimio la bunge kuwa limekosa imani na rais.
- Katiba inafuatwa tena, makamu huyo anakuwa rais, anaapishwa, duara linarudi lilipoanzia.