Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Mpaka awahi! Na katiba inasema akivunja bunge uchaguzi unarudiwa. Kama alivyosema "Bwege" (mbunge mmoja wa awamu iliyopita), "ngoma inaanza upyaaaaa". Wasiyemtaka wanamshughulikia huko huko!Hapo no 5. Rais anawawahi anavunja bunge. Mchezo kwisha
Ndoto zina raha yake, hata ikiwa ndoto ya kutisha raha inakuja unapozinduka ukagundua kumbe ni ndoto tu!
Ndiyo hivyo ni issue ya "timing" tu.Mpaka awahi! Na katiba inasema akivunja bunge uchaguzi unarudiwa. Kama alivyosema "Bwege" (mbunge mmoja wa awamu iliyopita), "ngoma inaanza upyaaaaa". Wasiyemtaka wanamshughulikia huko huko!
Kwahiyo asithubutu kupangua?Hatujafikia kiwango hcho , Ila itafikiwa endapo Raisi ataanza kupangua Safu iliyopo kiholela holela
Umeshaona wengine huko wanamtishia asipangue safu. Aendelee na walewale, wakafanye yaleyale, mahali palepale kwa mtindo uleuleNdiyo hivyo ni issue ya "timing" tu.
Nisaidie hapo kwenye hitimisho mzee babaUngefikiri kisheria usingefikia hitimisho hili mwanangu.
Pointi yako ni nini hapa mwanangu?Umeshaona wengine huko wanamtishia asipangue safu. Aendelee na walewale, wakafanye yaleyale, mahali palepale kwa mtindo uleule
Nyie bisheni. Nani wanabisha na kwanini ili iweje na kwa misingi gani?Pointi yako ni nini hapa mwanangu?
Dunia ina mengi mzee babaPointi yako ni nini hapa mwanangu?
Najua wabishi wapo. Tuko wote humu.Nyie bisheni. Nani wanabisha?
Kumbe najibizana na mbishi! Sorry about that and pole sana.Najua wabishi wapo. Tuko wote humu.
Shikamoo mzee. Kwahiyo unamaanisha mhimili wa Rais ni mtu mmoja tu mzee.Adolescents wa siasa ndio nyie very immature yaani bunge lifanye hayo na mhimili wa rais ukiangalia tuuu hebu kajipange kubalehe.