Mahesabu msiyopenda kusikia kuhusu Makamu mpya wa Rais

Sequence of events:
  1. Suppose Kundi mojawapo katika wanaotaka nafasi hiyo wana mshikamano na Spika.
  2. Halafu mtu wao anateuliwa kuwa makamu wa rais.
  3. Bunge linampitisha kwa kauli moja, anaapishwa kuwa makamu wa rais
  4. Baada ya miezi michache wabunge wanaanza kuhoji ufanisi wa rais.
  5. Hoja ya kutokuwa na imani na rais inaletwa kwa mujibu wa ibara ya 46 ya katiba, spika anakubali ijadiliwe, na inapita kwa kauli moja na azimio la bunge kuwa limekosa imani na rais.
  6. Katiba inafuatwa tena, makamu huyo anakuwa rais, anaapishwa, duara linarudi lilipoanzia.
Nyie bisheni.
Nitarudia tena. Don't underestimate H.E Samia Suluhu Hassan.
 
Mkuu pamoja na hoja hizo. Mara nyingi maazimio mengi ya kuwasilishwa kwenye Bunge huanzia kwenye Party Caucus. Mama akishakuwa Mwenyekiti wa Chama ana-controll 90% ya activity za chama. Ni vyema ikafahamika pia Deep State inafanya kazi. TISS inamsaidia kufahamu mambo mengi yanayotekea nchini na kuchukua hatua stahiki kwa wakati. Na Rais akipigiwa vote of no confidence nadhani tunarudi kwenye GE.
 
Sequence of events:
  1. Suppose Kundi mojawapo katika wanaotaka nafasi hiyo wana mshikamano na Spika.
  2. Halafu mtu wao anateuliwa kuwa makamu wa rais.
  3. Bunge linampitisha kwa kauli moja, anaapishwa kuwa makamu wa rais
  4. Baada ya miezi michache wabunge wanaanza kuhoji ufanisi wa rais.
  5. Hoja ya kutokuwa na imani na rais inaletwa kwa mujibu wa ibara ya 46 ya katiba, spika anakubali ijadiliwe, na inapita kwa kauli moja na azimio la bunge kuwa limekosa imani na rais.
  6. Katiba inafuatwa tena, makamu huyo anakuwa rais, anaapishwa, duara linarudi lilipoanzia.
Nyie bisheni.
Hiyo yote ni siasa, hujajadili the immense de facto power ya rais.
Unasahau kuwa rais ni C in C ambaye ana uwezo wa kuwavuruga wanasiasa wa upande wowote na mihimili yote.
 
Kile kiti cha amiri jeshi ni dhaifu tu endapo jeshi halikutii. Kinyume na hapo hakuna mbunge wala waziri anayeweza kumtoa Rais madarakani kwa mtindo wowote ule ukiondoa kifo au umaututi. Labda raia tena kwa maandamano makubwa sana yanayoambatana na vifo ndio wenye uwezo huo.
Nivile tu hamsomi katiba bunge linanguvu Sana kama wataamua kuwa na umoja raisi anaondoka mchana kwene upe kama katiba itafwatwa, jeshi huwa haliingilii michakato yakikatiba kama inaenda sawa.jeshi huweza ingilia kama katiba imekanywagwa au Kuna state of emergency ila kikatiba bunge lina mamlaka makubwa Sana na uwezo wakumuondoa raisi madarakani
 
Tuombe mambo yawe kwa usalama wa nchi,ili tuendelee kuchapa kazi na kuishi kwa amani bila bughuza,maana kukiwa na amani ndio ustawi wetu.
 
Mkuu pamoja na hoja hizo. Mara nyingi maazimio mengi ya kuwasilishwa kwenye Bunge huanzia kwenye Party Caucus. Mama akishakuwa Mwenyekiti wa Chama ana-controll 90% ya activity za chama. Ni vyema ikafahamika pia Deep State inafanya kazi. TISS inamsaidia kufahamu mambo mengi yanayotekea nchini na kuchukua hatua stahiki kwa wakati. Na Rais akipigiwa vote of no confidence nadhani tunarudi kwenye GE.
Vote with no confidence sio lazima ijadiliwe na party caucus ndio iwe halali hapana, katiba imeeleza vizuri msingi wake uanzia kwa wabunge na ndani ya bunge, jamani bunge linanguvu kama likiwa na mshikamano nivile nchini kwetu haijawai tokea..mbona Kuna mifano mingi ambayo imetokea tena kwene nchi yenye vyombo vya usalama vikubwa kuliko vyetu...raisi anauwezo wakukalishwa na bunge na hao TISS wasifanye lolote
 
Unachokisema ni sahihi. Hata hivyo, ukifuatilia tamaduni za Mabunge ya Jumuia ya Madola utakua unaelewa ninachokisema. Kuja na hoja ya namna Hiyo kama haina uungwaji mkono haufiki popote. Vote of no confidence sio kama hoja Nyingine zinazowasilishwa na Wabunge individual. Kazima kuanzia Kwenye "Corridor".
 
Sequence of events:
  1. Suppose Kundi mojawapo katika wanaotaka nafasi hiyo wana mshikamano na Spika.
  2. Halafu mtu wao anateuliwa kuwa makamu wa rais.
  3. Bunge linampitisha kwa kauli moja, anaapishwa kuwa makamu wa rais
  4. Baada ya miezi michache wabunge wanaanza kuhoji ufanisi wa rais.
  5. Hoja ya kutokuwa na imani na rais inaletwa kwa mujibu wa ibara ya 46 ya katiba, spika anakubali ijadiliwe, na inapita kwa kauli moja na azimio la bunge kuwa limekosa imani na rais.
  6. Katiba inafuatwa tena, makamu huyo anakuwa rais, anaapishwa, duara linarudi lilipoanzia.
Nyie bisheni.
Usifikiri ni Rais hivyo.Wabunge wengi wamepita Kihunihuni hawawezi anza hizo biashara
 
Akivunja bunge kumbuka tunarudi upya kwene uchaguzi kwanzia rais,wabunge na madiwani maana rais nae ni sehemu ya bunge
Siyo kweli. Kasome katiba. Rais anaweza kuvunja bunge ukaitishwa uchaguzi wa wabunge tu
 
Unachokisema ni sahihi. Hata hivyo, ukifuatilia tamaduni za Mabunge ya Jumuia ya Madola utakua unaelewa ninachokisema. Kuja na hoja ya namna Hiyo kama haina uungwaji mkono haufiki popote. Vote of no confidence sio kama hoja Nyingine zinazowasilishwa na Wabunge individual. Kazima kuanzia Kwenye "Corridor".
Hahaaaaaa hapo ni timing tu kabla ya kukamilisha mambo yao rais anavunja bunge turudi kwenye uchaguzi sasa mbunge gani hapo anajua kuwa atarudi kihalali pasipo ushiriki wa vyombo vya dola? Na je ikiwa amiri jeshi mkuu ndiye mwenye mamlaka ya kuamrisha vyombo vya usalama vitumike au laa na anaamua yeye vielemee upande gani

Hawawezi fikiri kufanya hicho mana wanajua wamefikaje hapo walipo na wakitoka hawawezi kirudi huko tena .
 
Wala. Hata kuvunja bunge ipo ndani ya katiba. Mkikaa mnawaza kupiga kura usalama unampa taarifa raisi na yeye anavunja bunge na kuitisha upya uchaguzi huku jeshi likiwa nyuma yake.

Kwa katiba yetu kuna vitu vitatu tu vinaweza mtoa raisi:
Nguvu ya uma
Jeshi lililoasi(Usalama, mabakabaka, polisi)
Kifo au ugonjwa beyond repair.
Polisi watoe ni kama waalimu tu
 
[emoji16][emoji16][emoji16]

Muulize anajua walichofanya hao mabaka baka mpaka mama akapewa nchi !? Au anadhani mambo yanakwenda bila plan

Majuzi alisikia speech ya Mabeyo alipokuw a anasema kwamba watafanya kazi na kumsupport raisi !? Anashindwa kutambua kuwa kauli hiyo ilikuwa ni mkwara kwa wanao taka kutibua Hali ya usalama wa nchi!!
Mwelekeze aelewe
 
Back
Top Bottom