Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
- Thread starter
- #121
Soma ibara ya 46Wala. Hata kuvunja bunge ipo ndani ya katiba. Mkikaa mnawaza kupiga kura usalama unampa taarifa raisi na yeye anavunja bunge na kuitisha upya uchaguzi huku jeshi likiwa nyuma yake.
Kwa katiba yetu kuna vitu vitatu tu vinaweza mtoa raisi:
Nguvu ya uma
Jeshi lililoasi(Usalama, mabakabaka, polisi)
Kifo au ugonjwa beyond repair.