kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Ulivyoandika kama msomi mbombezi kumbe mpiga umbeya tu.Wapinzani katika ubora wenu mmeanza tena kutuletea ramli zenu chonganishi!!!
FYI utabiri wako will never come to pass - Serikali ya CHAMA tawala na Wabunge wake hawawezi kuruhusu mpasuko wowote ndani ya Serikali na kwenye CHAMA,wana inbuilt mechanisms za kuhakikisha hilo halitokei hasilani - kama ulisikiliza vizuri rai ya CDF jana kuna kitu alipaswa kujifunza i.e ungefikiri mara mbili kabla hujatuletea bandiko lako hapa. Good day.