hii programme ni ya zamani sana. hata mm nilikuwa nikiifuatilia enzi hizo. sijui kama bado inapeperushwakuna programme fulani niliondokea kuipenda sana iliyoitwa MEDICAL DETECTIVES...yani wale jamaa hutumia ujuzi wa hali ya juu sana kufata ushahidi katika crime scenes...sijui kama bado inapeperushwa...ni katika etv..pia ungemshauri afatilie story za crime kwenye listverse.com....wanaandika vizuri sana pia
Yeah, I have realized that. But when was trying to read his initial post, I found myself distracted by the numerous caps within the text. It is as hard to read as when a long text is in all caps. I just couldnt read past the few lines.The guy has set his device to capitalize every first letter of the word!
So, I had to copy- paste that cluttered epistle into the word document, removed the caps, introduced the paragraphs....
Nilikuwa na shauku kuhusu uraia wako jombaa lakini nimedhibitisha we mtz nilivoona tu umetumia neno nawaboa,wakenya hawalitumii neno hilo kamwe.Kwa sheng wanasema nawabooh,unabooh,mnabooh si kuboa.Sawa,mimi mwenyewe fan wa crime fiction vitabu lakini,si movie.Crime kule Eastlands ishakuwa ni fiction jombaa ni hatar si siri!Leo ukiona kwa fb Hessy wa Dar utaskia kwenye nyuz panya road mkuu kauwawa!Guys Napenda Tu Kuandika Ivyo. Naona Kama Identity. Sorry Kama Nawaboa Nayo.
Guns are not that easily accessible as mobile phones in Kenya. Those kids obtain guns, not by buying them from stores. In fact, they do not even own them.Sasa Why Are Guns That Easily Accesible Huko Kenya. Tena Kwa MaKids Hata Hawajamaliza School.
Man u did all that? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] the guy owes you an apology[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Sasa Why Are Guns That Easily Accesible Huko Kenya. Tena Kwa MaKids Hata Hawajamaliza School.
Gun deaths in Tanzania three times that in Kenya? How comes? I thot Tanzania is a very safe country, gun violence quite a rarity.Maybe uchunguze borders za Kenya na South Sudan, Southern Ethiopia, Western Uganda and Somalia. Kenya imezungukwa na nchi nyingi ambazo zipo vitani au zina maeneo ambaza zina mrundiko wa silaha mikononi mwa raia. The only functional borders ni ya Tanzania na South Western Uganda.
Kwa kawaida maeneo kama haya, kuzuia silaha kuingia nchini ni kazi kweli kweli. Inaonesha state capacity ya Kenya as a nation ni nzuri kwa kuwa Kenya imekuwa na maendeleo muda huu wote ilhali majirani zake ni wa aina hii. Sio nchi nyingi huzingirwa na so much turmoil na zikabaki salama.
Ukifanya research kidogo utakuta kwamba kati ya nchi za Afrika Mashariki Kenya inakadiriwa kuwa na silaha 680,000 ndani ya mipaka yake. Gun deaths (Total homicides au vifo vinavyosababishwa na silaha hizo) ni 2,761. Ukilinganisha na nchi zingine za ukanda huu, Kenya ina silaha nyingi lakini vifo vinavyotokana na silaha hizo ni chache. Mfano Ethiopia ina silaha 320,000 na vifo 11,048 wakati Tanzania ina silaha 550,000 na vifo 6,071, Uganda idadi silaha ni 400,000 na vifo 3,753.
Nadhani sababu kubwa ya kuonekana kuwa Kenya ina gun problem ni aina ya uandishi wa habari. Kenyan news ziko a bit more sensational kwa hio mauaji/ukame etc kuliko her neighbors.
Maybe uchunguze borders za Kenya na South Sudan, Southern Ethiopia, Western Uganda and Somalia. Kenya imezungukwa na nchi nyingi ambazo zipo vitani au zina maeneo ambaza zina mrundiko wa silaha mikononi mwa raia. The only functional borders ni ya Tanzania na South Western Uganda.

Habari Wakenya. Mimi Ni M-Tz Na Sijawah Fika Kenya. Ila Kutokana Na Kupenda Kusoma Crime Stories And Maybe Because Am A Lawyer To Be.. Imenipelekea Kusoma Na Kufuatilia Sana Mambo Za Mafias And Criminals (Not Terrorists)But Wale Wasee Wanaoperate Within A Country Either Individually Or Wale Wako Kwa Gangs Or Organized Crimes Like Mafia ie Ndrangheta.
Sasa Nkawa So Insinuated Na Kenyan Crime News Nikisikia Tu Huwa Napenda Kufuatilia Na Kusoma. So From Mohamed Ali's Documentaries "Jambazi Sugu Wanugu" Kina Wacucu Na Yule Rasta Nimeangalia Pia Yule Officer Alienusurika Kufa Wakati Alikua Hot On Trails Za Robbers Nimesahau Jina Lake Na Pia Yule Officer Aliuliwa Allegedly To Be A Robber. Btw Napenda Sana Ile Nyimbo "Dunia Ina Mambo" Moha Alitumia Katika Izo Documentaries.
Sasa Ni Kuhusu Hizi Issue Za Hawa MaHessy Mara Wa Kayole Au Dandora Then Nikaona Hao Girls Wanasemwa Majambazi Wameuawa Very Young Na Ile Profile Allegedly Of Mwane(A Husband Of One Of Killed Girls) Akipost Kua Hamuogopi Hessy. If There Is One Thing That Makes Me Afraid Of Coming To Nairobi,Is Crime And Violence. Wasee Wa Kenya Mnachukuliaje Hawa MaHessy Wanaofanya Things We Only See In Indian Movies!!Maana Kukula Coppers Nje Nje Apo Nairobi. Mpaka Naanza Ogopa Unaweza Ukaja Naii Ukapatana Na Msupuu Kumbe Ako Kwa List Ya Hessy Na Ashapewa Mko Mmekaa Hivi Hessy Akakuunga Na Ww Ni Robber Ukala Copper. Wasee Mnipe Views Zenu Kuhusu Hii. Nawakilisha!!
Could be that other forms of violent crimes are more prevalent in Kenya. (Knives/Pangas/Clubs/arrows etc) which aren't covered here. This only covers guns. Security covers a wider scope that just gun homicide.Gun deaths in Tanzania three times that of Kenya? How comes? I thot Tanzania is a very safe country, gun violence quite a rarity.
dude..you have really done ur homework...you know ur stuff....but mbona nikuulize, kwanini watz wanajua sana kuhusu Kenya? yaani mko obssessed ama nini? sikumbuki last time nilitaka kujua chochote kuhusu tz...pengine mambo ya juu juu tu...lakini nyie mnaweka effort kujua sana kuhusu kenya...mbona?
Gun deaths in Tanzania three times that in Kenya? How comes? I thot Tanzania is a very safe country, gun violence quite a rarity.
Maybe uchunguze borders za Kenya na South Sudan, Southern Ethiopia, Western Uganda and Somalia. Kenya imezungukwa na nchi nyingi ambazo zipo vitani au zina maeneo ambaza zina mrundiko wa silaha mikononi mwa raia. The only functional borders ni ya Tanzania na South Western Uganda.
Kwa kawaida maeneo kama haya, kuzuia silaha kuingia nchini ni kazi kweli kweli. Inaonesha state capacity ya Kenya as a nation ni nzuri kwa kuwa Kenya imekuwa na maendeleo muda huu wote ilhali majirani zake ni wa aina hii. Sio nchi nyingi huzingirwa na so much turmoil na zikabaki salama.
Ukifanya research kidogo utakuta kwamba kati ya nchi za Afrika Mashariki Kenya inakadiriwa kuwa na silaha 680,000 ndani ya mipaka yake. Gun deaths (Total homicides au vifo vinavyosababishwa na silaha hizo) ni 2,761. Ukilinganisha na nchi zingine za ukanda huu, Kenya ina silaha nyingi lakini vifo vinavyotokana na silaha hizo ni chache. Mfano Ethiopia ina silaha 320,000 na vifo 11,048 wakati Tanzania ina silaha 550,000 na vifo 6,071, Uganda idadi silaha ni 400,000 na vifo 3,753.
Nadhani sababu kubwa ya kuonekana kuwa Kenya ina gun problem ni aina ya uandishi wa habari. Kenyan news ziko a bit more sensational kwa hio mauaji/ukame etc kuliko her neighbors.
Wakenya waliopo Tanzania ni wengi kuliko watanzania waliopo Kenya ... hii inamaanisha kuwa wakenya wengi wanaijua Tanzania kuliko watanzania wanaoijua Kenya...dude..you have really done ur homework...you know ur stuff....but mbona nikuulize, kwanini watz wanajua sana kuhusu Kenya? yaani mko obssessed ama nini? sikumbuki last time nilitaka kujua chochote kuhusu tz...pengine mambo ya juu juu tu...lakini nyie mnaweka effort kujua sana kuhusu kenya...mbona?
Wakenya waliopo Tanzania ni wengi kuliko watanzania waliopo Kenya ... hii inamaanisha kuwa wakenya wengi wanaijua Tanzania kuliko watanzania wanaoijua Kenya...
Kuna vipindi kama vya churchill live ambavyo comedians wake wengi huiongelea Tz na bado hujaiongelea nyimbo wanazozitumia...
tamthilia nyingi za wakenya zimeanza kufeature watanzania na pia angalia showbiz ya Kenya na Tanzania uone ni ipi inayoiathiri nyingine...
ukiangalia forums za wakenya kama JamiiForums.com ama reddit huwa hawajiangaishi na Rwanda na hata sudan.. ni Tz na somalia na mkijitahidi sana mtaiongelea Ethiopia ...ila mkija Jf huwa mnaigiza kuifuatilia SA ,nigeria na Egypt
Sasa kama wewe hujui lolote kuhusu Tanzania .....its your own probleme coz nina uhakika kuna watanzania wengi kama wewe wasiojua hata kuna Kibera
Hahahaaaaaa sawa bhanaa yap ni muhaya ndio lakini wahaya ni group kubwa la watu hivyo huwezi kuunganisha dots kirahisi hivyo maana kuna wahaya wenye asili ya bunyoro Ug (ambapo ndipo inaaminika kama chimbuko) haswaa waziba NA wengine ni kama sisi tu tuliopo muleba ambao mchanganyiko wake huwezi kujua ni yupi ana origin ya Uganda ,Burundi ama Rwanda ... Si unajua mipaka ni ya wakoloni ila wazee wetu walikuwa NA mipaka yaoOmwami, nakuita hilo jina maana uliniambia umetokea Kagera, hivyo aidha utakua Mhaya au Mnyambo ambao wana undugu na Waluhya wa Kenya akina NairobiWalker wao hutumia hilo Omwami na nilikuta linatumika kwenu.
Anyway, nikija kwenye kauli yako, sidhani kama kuna Mtanzania asiyeijua Kibera, hili neno Kibera limeenea hadi vijijini Tanzania. Hutumiwa sana kuwapa 'feel good mentality' kila mnapohoji kwanini Kenya imeishinda Tanzania kiuchumi, huwa kitu cha kwanza cha kuwaliwaza kwamba Kenya kuna umaskini mwingi na Wakenya mamilioni wanaishi Kibera hivyo mnatulia na kuacha kuhoji zaidi.
Kuhusu ufuatiliaji wa masuala ya Tanzania, kuna idadi ya Wakenya wanaopenda nyimbo zenu, hilo nakiri, haswa Wakenya wa maeneo ya Pwani ambao wana undugu na Watanzania wa Pwani na Tanga. Kingine ambacho Wakenya wanakifahamu sana kutokea Tanzania ni uganga, maana Kenya kuna mabango mengi sana ya waganga wenu. Halafu Wakenya wanawafahamu sana Watanzania kwa kupenda kuomba omba maana ndugu zenu wamejaa kwenye pembezoni mwa barabara zetu wakiomba omba.
Hatimaye Wakenya wanawajua sana Watanzania wenye asili ya Kichagga maana hawa jamaa hujituma sana Kenya na ni wajasiria, wapo wengi kwa maelfu, ukienda sehemu inaitwa Gikomba utadhani upo Moshi maana ndio wengi hapo. Japo kuna wale wamewekeza hata kwenye soko la ujenzi, jirani yangu Mchagga amejenga apartments za nguvu.
Sasa hayo ndio tunayoyafahamu kwa sana kuhusu Tanzania, japo Wakenya wazee wanamjua sana Nyerere lakini sio kwa vijana. Labda Magufuli siku hizi maana amengazwa sana kwenye hilo la kutumbua na kubana matumizi. Zaidi ya hao labda kwa Mkenya kama mimi ambaye nimekatiza vijijini kwenu, nimeingia mitaani, nimesafiri wilaya na mikoa mingi sana huko hivyo nimekua na muda wa kufuatlia hata siasa zenu kwa kina.
Lakini ukiingia upande wa Tanzania, wengi mnafuatlia sana mambo ya Kenya, sijasema ni vibaya lakini ndio hali ilivyo. Binafsi nikiongea Kiswahili ni vigumu kughamua asili yangu kwa lafudhi, hivyo huwa nikijichanganya na Wabongo bila wao kunishtukia, halafu nawakuta kwenye vijiwe wakijadili Kenya hadi napata raha. Kuna maeneo mengi sana nilishawakuta mkijadili Kenya na Wakenya na siasa za Kenya, ila wengi huwa wanasifia na sio kuponda.
Kwanza nilikuta wengine wanabishana balaa kuhusu siasa za Kenya, na huwa sijitambulishi ila nawaskliza tu kimya kimya na kucheka kimoyo moyo.
Halafu kwenye runinga mara nyingi unakuta mpo kwenye Citizen ya Kenya ambayo ni maarufu sana huko.
Muulize hizo data amepata wapi kama sio chooni kwake.