MulegiJr
Senior Member
- Sep 5, 2018
- 125
- 88
- Thread starter
- #21
Kuna nyakati, nawasha Simu mazima, sababu kubwa ni jinsi watu na especially vijana tumekuwa wavivu wa kujenga hoja tunakimbilia attacks.
Siasa kwa Mataifa ya Bara la Afrika ni aajira inayofichwa kwenye dhana ya utumishi wa umma na kile kinachotambulika kama frontrunners wa matatizo ya watu wa Daraja la chini.
My take, Tanzania na aina ya siasa tulionayo ni ajira kama zilivyo ajira zingine nchini: 1. Mara kadha wa kadha tumeona ajira hizi zikitolewa na kikundi cha watu wachache na siyo wapiga kura kama inavyotakiwa. Uchaguzi wa 2015 &2020 ni ishara tosha kuonyesha kuwa ile ni Ajira ya upendeleo.
Uhamaji wa chama kimoja kwenda kigine ni utamaduni wa mwajiriwa kutafuta maslahi sahihi kwake, Bananga na Wengine wengi, wapo kuhakiksha ajira inawalipa na kuwafaidisha.
Kama watanzania tunatafuta watetezi na siyo waajiriwa kuna jambo linatakiwa kufanyika kwa namna moja au ingine.