Mahitaji ya kisiasa na kibinadamu kwa Ally Bananga

Kuna nyakati, nawasha Simu mazima, sababu kubwa ni jinsi watu na especially vijana tumekuwa wavivu wa kujenga hoja tunakimbilia attacks.

Siasa kwa Mataifa ya Bara la Afrika ni aajira inayofichwa kwenye dhana ya utumishi wa umma na kile kinachotambulika kama frontrunners wa matatizo ya watu wa Daraja la chini.
My take, Tanzania na aina ya siasa tulionayo ni ajira kama zilivyo ajira zingine nchini: 1. Mara kadha wa kadha tumeona ajira hizi zikitolewa na kikundi cha watu wachache na siyo wapiga kura kama inavyotakiwa. Uchaguzi wa 2015 &2020 ni ishara tosha kuonyesha kuwa ile ni Ajira ya upendeleo.

Uhamaji wa chama kimoja kwenda kigine ni utamaduni wa mwajiriwa kutafuta maslahi sahihi kwake, Bananga na Wengine wengi, wapo kuhakiksha ajira inawalipa na kuwafaidisha.

Kama watanzania tunatafuta watetezi na siyo waajiriwa kuna jambo linatakiwa kufanyika kwa namna moja au ingine.
 
Bananga amerudi CCM straight akaomba ajira, na Rais akamuahidi atampa, hizo sifa ulizoorodhesha hapo juu zote zinapoteza maana kwa sababu ya njaa iliyomzidi ujanja, ni wazi alikuwa Chadema kusaka cheo, amekikosa akaona bora aondoke hana maana yoyote.
 
Unaweza kuwa sahihi, na sina uhakika na Elimu ya Bananga lakini pia, kuna namna mtu anakua kisiasa, Bananga amefikia level ya Akina Patrobus, kafulila na Msando, ni wakati sahihi kwake kufanya maamuzi sahihi kama mtu aliyewekeza kwenye siasa.

Mengine ni masuala yake Binafsi, na utashi wa kile anachokihitaji kama mwanadamu.
 
Mwacheni ashuke, sisi goma hili hadi kogoma. Wengi wanapanda wachache wanashuka goma lipo nyomi...tiketi zinakatwa kimya kimya kidigitali..goma linakusanya abilia kila kituo kimya kimya.
 
Kwenda kwa mataga siyo maana 'ake kuhama..
Anaeza kuwa ameenda kimkakati
 
Unapoigeuza siasa kuwa ajira ndio mwanzo wa kuwa na wachumia tumbo wengi kwenye siasa na hawa ndio kikwazo namba moja cha maendeleo ya taifa letu.

Kwanini wasijiajiri hata kwa kufuga n'gombe wa maziwa wayauze wapate chochote ili kuwa huru kufanya siasa zao badala ya kufukuzia teuzi ambazo wakizikosa wanakimbilia vyama vingine kuzitafuta?

Mtu wa aina hii unaanzaje kumsifia amepevuka kisiasa? huo upevukaji wa maslahi ya tumbo lake unamsaidia nini mwananchi wa kawaida kumuondolea kero lukuki zilizomzunguka?

Hawa wachumia tumbo ndio mwishowe huwa wagumu kuwajibika wanapoharibu kwenye idara/taasisi zao kwasababu malengo yao kwenye siasa ni kuchuma, na sio kuwatumikia watanzania.

Hii mada yako naiona imekaa kushoto sana, badala ya kukemea tatizo, inalipaka poda na kulionesha kama ni jambo la kuigwa kwenye jamii, kwa mawazo yako haya kama taifa tutadumaa milele.
 
Ushabiki maandazi ndio nini?

Yaani kwa akili zako unataka kila mtu afanane mawazo na wewe??

Ungekuja na hoja labda ningekuelewa
Ndio hapo tulikuwa tunamshangaa mwendakuzimu alikuwa anataka kila mtu awe mwanaccm. Mpaka akanajisi uchaguzi ili kila mtu awe mwanaccm kwa shuruti.
 
Ushabiki maandazi ndio nini?

Yaani kwa akili zako unataka kila mtu afanane mawazo na wewe??

Ungekuja na hoja labda ningekuelewa
Ni ushabiki wa kimalaya Malaya.
Msalimie Mume wako mhandisi mwenzangu aliyepotea.
 
Masahihisho : Ally Bananga hajawahi kuwa Meneja wa Kampeni wa Tundu Lissu kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 , Meneja wa Kampeni zile aliitwa AMANI GOLUGWA .

Uongo wako huu unafanya uzi wako wote kuwa batili .

Ally Bananga alipewa nafasi ya kusena jukwaani kama mkakati wa Chadema kumuondoa Arusha ili asimhujumu Lema kama alivyotumwa na akina Msando na Kalisti .

Tafadhali sana unapoandika uongo kuhusu Chadema unapaswa kujiandaa , vinginevyo utadhalilika vibaya sana ! Ni imani yangu kwamba umejifunza jambo kupitia uzi wako huu wa uongo , na ukileta fyokofyoko nitakulipua zaidi bila huruma yoyote .

Kuwa mwangalifu
 
Ndio hapo tulikuwa tunamshangaa mwendakuzimu alikuwa anataka kila mtu awe mwanaccm. Mpaka akanajisi uchaguzi ili kila mtu awe mwanaccm kwa shuruti.

Mwendakuzimu ni nani na alimtaka nani kwa shurti
 
Bananga amerudi CCM straight akaomba ajira, na Rais akamuahidi atampa, hizo sifa ulizoorodhesha hapo juu zote zinapoteza maana kwa sababu ya njaa iliyomzidi ujanja, ni wazi alikuwa Chadema kusaka cheo, amekikosa akaona bora aondoke hana maana yoyote.
Unaweza kuwa sahihi, na sina uhakika na Elimu ya Bananga lakini pia, kuna namna mtu anakua kisiasa, Bananga amefikia level ya Akina Patrobus, kafulila na Msando, ni wakati sahihi kwake kufanya maamuzi sahihi kama mtu aliyewekeza kwenye siasa.

Mengine ni masuala yake Binafsi, na utashi wa kile anachokihitaji kama mwanadamu.
 
Siasa ya Afrika ni siasa, ni kama wanavyoishi wasanii Duniani kote, wanaishi kwa ajili ya kutegeneza brand na kukuza vipato vyao...

Tukubaliane kutumikia CDM na ukaonekana mtu makini ni rahisi sana kuliko kuitumikia CCM NA Ukafanikiwa kujenga Brand yako.

Tukubaliane Upinzani kuna namna watu wanafundishwa kuwekeza kwenye Hoja zaidi ya kufocus kwenye taarifa za Serikali pekee... Ni rahisi pia kwa wewe unaesoma thread hii na unajiandaa kunipinga, tizama kwanza Malengo na Mahitaji yako kisiasa!!

Kama huna Malengo, kisiasa fanya kama unakuwa shabiki tu wa moira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…