Kapesa ka kumuwezesha kufika Clinic mapema bila kukosa ( anatakiwa kuwa ameshaanza )Habari wandugu!
Nina mwenzangu ambaye ana ujauzito wa miez 4 sasa. lakin kwa bahati nzuri/mbaya siishi nae .Yeye yupo Iringa na Mimi nipo Mwanza. Hivyo basi ningependa kujua mbali na matumizi ya kawaida ya Mwanamke ni vitu gan hasa muhimu kwa Mama Mjamzito angalau kama ni hela nijue namtumia kiasi gan au kama ni vya Kununua mwenyewe ni nunue. Mf aina za mavazi,chakula etc.
NB: Hii ndo mimba yake ya kwanza.
VIFAA VINAVYOHITAJIKAHabari wandugu!

nyie mods kwa nini mnaweka vibonzo ktk comment yangu hapo juuVIFAA VINAVYOHITAJIKA
1😛amba kubwa moja
2:Gloves 4 (surgical gloves)
3:Kibana kitovu
4:surgical blades
5:spirits
6😀ettol
7:mabomba makubwa mawili ya sindano ya cc 5
8:kanga doti 4
9:Vitenge doti 2
10:Madela mawili
11:Nauli ya usafiri
VIFAA VYOTE HIVI VINATAKIWA VIWEKWE KTK MFUKO MMOJA ILI UCHUNGU UTAKAPOMUANZA IWE RAHISI KUBEBA TU VIFAA VYAKE NA KUWAHI KTK KITUO CHA KUJIFUNGULIA ATAKACHOPANGIWA
vazi tena?Habari wandugu!
Nina mwenzangu ambaye ana ujauzito wa miez 4 sasa. lakin kwa bahati nzuri/mbaya siishi nae .Yeye yupo Iringa na Mimi nipo Mwanza. Hivyo basi ningependa kujua mbali na matumizi ya kawaida ya Mwanamke ni vitu gan hasa muhimu kwa Mama Mjamzito angalau kama ni hela nijue namtumia kiasi gan au kama ni vya Kununua mwenyewe ni nunue. Mf aina za mavazi,chakula etc.
NB: Hii ndo mimba yake ya kwanza.
Ahsante sana. UbarikiweKapesa ka kumuwezesha kufika Clinic mapema bila kukosa ( anatakiwa kuwa ameshaanza )
Kwa kipindi hiki uwe unamtumia na hela ya matumizi yake ya kawaida awe na uhakika wa kupata anachokitaka, MAMA AKIFURAHI NA MTOTO ANAFURAHI, kwahiyo makuzi ya mtoto yanakuwa muruaaaa.
Hakikisha una akiba ya hela muda wote maana kuna dharula inaweza kutokea. UKIMPA HELA USIMPE ZOTE. Sawa?
Kama ameanza Clinic mahitaji ya siku ya kujifungua atayajua hapo, awe mdadisi tu mara kwa mara kwa Doctor anayemuhudumia
na wewe hakikisha umeyajua mapema hayo mahitaji ili ujiandae na ikiwezekana katika akiba yako gharama za siku ya kujifungua ziwe ndani yake.
Ahsante sana. UbarikiweVIFAA VINAVYOHITAJIKA
1😛amba kubwa moja
2:Gloves 4 (surgical gloves)
3:Kibana kitovu
4:surgical blades
5:spirits
6😀ettol
7:mabomba makubwa mawili ya sindano ya cc 5
8:kanga doti 4
9:Vitenge doti 2
10:Madela mawili
11:Nauli ya usafiri
VIFAA VYOTE HIVI VINATAKIWA VIWEKWE KTK MFUKO MMOJA ILI UCHUNGU UTAKAPOMUANZA IWE RAHISI KUBEBA TU VIFAA VYAKE NA KUWAHI KTK KITUO CHA KUJIFUNGULIA ATAKACHOPANGIWA
Ahsante sana. UbarikiweWe andaa hela kwa ajili ya kumuwezesha kupata vitu kama ulezi,chakula cha mama mwenyewe ili apate afya njema aweze mnyonyesha mwanae vizuri.
Pili kuwe na hela ya kwa ajili ya matibabu endapo mtoto ataugua na hata ya mavazi pia..halafu uwe unamfariji mwenzio kwa kuwasiliana nae mara kwa mara ili ajisikie mpo karibu siyo unamfungia vioo mpaka akapatwa na mawazo mabaya ikapelekea kumuathiri mtoto
Ahsante sana. Ubarikiwehakikisha anakula samaki samaki maharage bamia mayai
Matibabu ya mtoto siku hizi yamerahisishwa akizaliwa mkatie bima ya NHIF ( TOTO AFYA KADI ) Alfu hamsini tu mtoto anatabiwa bure mwaka mzima hospital kibao kasoro Agakhan tu.We andaa hela kwa ajili ya kumuwezesha kupata vitu kama ulezi,chakula cha mama mwenyewe ili apate afya njema aweze mnyonyesha mwanae vizuri.
Pili kuwe na hela ya kwa ajili ya matibabu endapo mtoto ataugua na hata ya mavazi pia..halafu uwe unamfariji mwenzio kwa kuwasiliana nae mara kwa mara ili ajisikie mpo karibu siyo unamfungia vioo mpaka akapatwa na mawazo mabaya ikapelekea kumuathiri mtoto
Ni kwa wafanyakazi au hata kwa sisi wajasiliamali unaweza mkatia kadi mwanaoMatibabu ya mtoto siku hizi yamerahisishwa akizaliwa mkatie bima ya NHIF ( TOTO AFYA KADI ) Alfu hamsini tu mtoto anatabiwa bure mwaka mzima hospital kibao kasoro Agakhan tu.
Toto Afya kadi imenisaidia sana kwa mwanangu maana watoto umri huo wanapata dharula za kuumwa kila mara.
50,000/= kwa watoto wote uwe serikalini kama una mtoto amezidi amekosa nafasi kwenye ile idadi inayotakiwa kwenye bima yako Ruksa kumkatia. Kama mjasiriamali au siyo mjasiriamali Ruksaa pia.Ni kwa wafanyakazi au hata kwa sisi wajasiliamali unaweza mkatia kadi mwanao
Wote mkuu ili mradi ulipie tu 50,000Ni kwa wafanyakazi au hata kwa sisi wajasiliamali unaweza mkatia kadi mwanao
Shukrani kiongozi kwa kunifumbua macho hakika hi ni nzuri.Wote mkuu ili mradi ulipie tu 50,000
Sana watoto wakiwa wadogo huwa na dharula dharula za kuumwa na hospital zetu hizi mambo ya Cash utajikuta unatoa hela kweli kweli.Shukrani kiongozi kwa kunifumbua macho hakika hi ni nzuri.
Asante nitafanya hivyo kiongozi mana nilizoea kutoa mfukoni lakini kuna kipindi mambo yanaingiliana na mfukoni unakuta umebakiwa na hela ndogo ila hi itasaidia sanaSana watoto wakiwa wadogo huwa na dharula dharula za kuumwa na hospital zetu hizi mambo ya Cash utajikuta unatoa hela kweli kweli.
Mimi toka nimemkatia Mwanangu Bima nashukuru Mungu inasaidia sana.
Kwa hiyo Mama akijifungua ukishapata cheti cha kuzaliwa cha mtoto na passport size mbili, Kamkatie Bima.
hela utaenda kulipia Bank NMB nadhani.