Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Hata hizi game zao 2 za mwisho za kimataifa zimekosa sana msisimkoSimba na Yanga na machawa wao wa mitandaoni wapiga kelele wanatakiwa kupuuzwa kabisa pia.
#D9 TUTAKUWEPO 🫵
Hata hizi game zao 2 za mwisho za kimataifa zimekosa sana msisimkoSimba na Yanga na machawa wao wa mitandaoni wapiga kelele wanatakiwa kupuuzwa kabisa pia.
Dj weka makomborerooo makomboreroooo🤣🤣
Yaani niliwaza mengi kwann Sikwenda ht jwtz kitambo hiko aisee labda ningefanya kituThank you Champ!
Kuna uzi uliwekq hapa mchana mbona siuoni au wamefuta?Ni kipindi kigumu na kibaya kwa wasanii wa Tanganyika.. Hawasikiki tena na kazi zao haziuziki wala kushabikiwa tena.
Hata zile drama zao zilizokuwa zinawapa viewers na kiki kwasasa zinaonekana ni upuuzi mtupu
Hakuna trendings tena mitandaoni
Hakuna 'new subscribers'
Hakuna interviews tena
Hakuna majigambo na kutambiana tena!
Hawasikiki hawaonekani wamepotea kabisa
Haya ni matokeo hasi ya kushabikia utawala dhalimu na kuwasahau waliowafikisha hapo
Hakuna nyimbo za mapenzi tena wala kusifiana na kukandiana.. Nyimbo zinazobamba kwasasa ni nyimbo za ukombozi, nyimbo za hamasa za mabadiliko, mijadala ya kutafuta haki nk
Kuna kizazi kipya cha wasaniii kitazaliwa baada ya hapa na hili litakuwa funzo kubwa kwa wasanii waliopo..
Kwa wenye akili na wanaojua kujiongeza na kwenda na mahitaji ya nyakati huu ni wakati wao mzuri wa kufanya jambo.. Wakibaki hapo walipo watapotea milele
View attachment 3507694
tanzania hatuna wasani tuna machawa na wachumia tumbo wa samuyaNi kipindi kigumu na kibaya kwa wasanii wa Tanganyika.. Hawasikiki tena na kazi zao haziuziki wala kushabikiwa tena.
Hata zile drama zao zilizokuwa zinawapa viewers na kiki kwasasa zinaonekana ni upuuzi mtupu
Hakuna trendings tena mitandaoni
Hakuna 'new subscribers'
Hakuna interviews tena
Hakuna majigambo na kutambiana tena!
Hawasikiki hawaonekani wamepotea kabisa
Haya ni matokeo hasi ya kushabikia utawala dhalimu na kuwasahau waliowafikisha hapo
Hakuna nyimbo za mapenzi tena wala kusifiana na kukandiana.. Nyimbo zinazobamba kwasasa ni nyimbo za ukombozi, nyimbo za hamasa za mabadiliko, mijadala ya kutafuta haki nk
Kuna kizazi kipya cha wasaniii kitazaliwa baada ya hapa na hili litakuwa funzo kubwa kwa wasanii waliopo..
Kwa wenye akili na wanaojua kujiongeza na kwenda na mahitaji ya nyakati huu ni wakati wao mzuri wa kufanya jambo.. Wakibaki hapo walipo watapotea milele
View attachment 3507694
Bro punguza hasira aisee! 😂😂Wamekua kama wajinga, mara vibao kata kukatika katika kama mijusi.....pambaff kabisa.
Wasubiri kampeni nyingine tena....sio sasa.
Davido mwana sana. Ngoja ni mfollow kbs.Ni kipindi kigumu na kibaya kwa wasanii wa Tanganyika.. Hawasikiki tena na kazi zao haziuziki wala kushabikiwa tena.
Hata zile drama zao zilizokuwa zinawapa viewers na kiki kwasasa zinaonekana ni upuuzi mtupu
Hakuna trendings tena mitandaoni
Hakuna 'new subscribers'
Hakuna interviews tena
Hakuna majigambo na kutambiana tena!
Hawasikiki hawaonekani wamepotea kabisa
Haya ni matokeo hasi ya kushabikia utawala dhalimu na kuwasahau waliowafikisha hapo
Hakuna nyimbo za mapenzi tena wala kusifiana na kukandiana.. Nyimbo zinazobamba kwasasa ni nyimbo za ukombozi, nyimbo za hamasa za mabadiliko, mijadala ya kutafuta haki nk
Kuna kizazi kipya cha wasaniii kitazaliwa baada ya hapa na hili litakuwa funzo kubwa kwa wasanii waliopo..
Kwa wenye akili na wanaojua kujiongeza na kwenda na mahitaji ya nyakati huu ni wakati wao mzuri wa kufanya jambo.. Wakibaki hapo walipo watapotea milele
View attachment 3507694
Mwanamuziki Sumamnazalet ameendelea kuwaongelea wasanii wenzake na hali ilivyo Kwa Sasa kwenye harakati zao za kazi.M029 imetuondolea ujinga mwingi sana,sasahivi naona wanasema pesa za Wana chi sio za mama tena