PostGE2025 Mahitaji ya nyakati, harakati za Gen Z vimewafubaza wasanii

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna uzi uliwekq hapa mchana mbona siuoni au wamefuta?
Uliowataja wanaharakati etc
 
Mi nlikuwa nmezama kwenye mpira na shabik lia lia wa simba..ila kitendo cha kupiga kimya bila kupost kwa kuwapa pole mashabik zake waliouwa...juz walipopigwa kimoja nlishangilia sanaa ..hili la mpira na lenyew ni suala la muda tu linaenda kufa kifo cha mende....soon kweny sanaa na michezo tunaenda kuwa zaid ya kenya
 
tanzania hatuna wasani tuna machawa na wachumia tumbo wa samuya
 
Na sio wasanii .... hata ma mipira yanaenda kufa ..sijui Yanga ujinga ujinga wa Goli la mama .huku wanaiba kwiiiishaaaa. Wanaotamba kwa sasa Ney wa mitego na Roma . Wengine Wakafie mbeleee
 
Davido mwana sana. Ngoja ni mfollow kbs.
 
''Kiufupi wasanii tumeyakanyaga huu mwaka zuchu katoa wimbo mtaani kama hakujatokea kitu marioo shetani sijui hata imefikia wapi''

Ameandika -Suma Mnazaleti Kupitia ukursa wake wa instgram

#halisimax #halisimedia #halisimediatz
 
M029 imetuondolea ujinga mwingi sana,sasahivi naona wanasema pesa za Wana chi sio za mama tena
Mwanamuziki Sumamnazalet ameendelea kuwaongelea wasanii wenzake na hali ilivyo Kwa Sasa kwenye harakati zao za kazi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika

"Jux baada ya kuona huku wasanii mambo ayaendi kawai zake ukweni nigeria huko oya oya anaokota tu sisi tuliooa zanzibar sa sijui itakuwaje au twende ukweni chakechake tukaokote''Ameandika-Suma Mnazaleti

Neno Moja kwako👇

#halisimax #halisimedia #halisimediatz
 
Wafanye show ccm, nje ya hapo tutawawasha moto.

Wakifanya show hakuna mwananchi kwenda, waende ccm na polisi wao tu.

Mi nikihudhuria naenda na petroli lita tano nazimwaga popote nitakapo fika.

Hawa hawana tofauti na ma ccm na mapolisi, wembe ule ule wakale ccm.
 
Hakuna nyimbo za mapenzi tena wala kusifiana na kukandiana.. Nyimbo zinazobamba kwasasa ni nyimbo za ukombozi, nyimbo za hamasa za mabadiliko, mijadala ya kutafuta haki nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…