Labda kwenye mahandakiWataenda kukaa wapi?
Elezea walifukuwa kwa sababu gani na ipi haswa ? usilete habari kinyonge... Hao ni Victims wauaji wat wa chuki waliotaka kuua Wayahudi wote ila uimara wa Waisrael hayo maarabu ya Arabian yakashindwa so uwepo wao ni huruma tu ya wayahudi kwani walistahili kumiminiwa shaba hadi kifo.. sasa warudi kupokea hukumu yao au? maana msamaha wao wa kubakiza uhai ilikuwa kuondoka kwa hiari.Katika mkutano wake na waziri mkuu wa Lebanon,Nawaf Salam kiongozi wa mamlaka ya Palestina amewahimiza raia wake warudi kwenye ardhi zao huko Palestina ambayo sasa inaitwa Israel.
Malaki ya raia hao ni wale waliofukuzwa kwenye ardhi zao wakati wa kuanzishwa kwa taifa la Israel mwaka 1948.Wapalestina hao pamoja na vizazi vyao tangu muda huo wamekuwa wakiishi kwenye makambi ya wakimbizi yaliyoanzishwa nchini humo
Pamoja na kuwahimiza ndugu zake hao kurudi kwao vile vile viongozi hao wamehimiza kupatikana kwa haraka taifa la Palestina litakalokuwa na makoo makuu yake Jerusalem.
Suala jengine walilokubaliana viongozi hao wawili na serikali ya Lebanon kuchukua mamlaka kamili ya kuzisimamia kambi hizo za wakimbizi mpaka hapo taifa la Palestina litakapokuwa limeanzishwa.
Katika mkutano wake na waziri mkuu wa Lebanon,Nawaf Salam kiongozi wa mamlaka ya Palestina amewahimiza raia wake warudi kwenye ardhi zao huko Palestina ambayo sasa inaitwa Israel.
Malaki ya raia hao ni wale waliofukuzwa kwenye ardhi zao wakati wa kuanzishwa kwa taifa la Israel mwaka 1948.Wapalestina hao pamoja na vizazi vyao tangu muda huo wamekuwa wakiishi kwenye makambi ya wakimbizi yaliyoanzishwa nchini humo
Pamoja na kuwahimiza ndugu zake hao kurudi kwao vile vile viongozi hao wamehimiza kupatikana kwa haraka taifa la Palestina litakalokuwa na makoo makuu yake Jerusalem.
Suala jengine walilokubaliana viongozi hao wawili na serikali ya Lebanon kuchukua mamlaka kamili ya kuzisimamia kambi hizo za wakimbizi mpaka hapo taifa la Palestina litakapokuwa limeanzishwa.
Ardhi zote ni zao na hawakufukuzwa zamani sana.Kuna vikongwe mpaka leo wakirudi watafika maeneo yao.Mohamoud Abbas anaanza kuzeeka hana jipya tangu achukue PLO kutoka kw aYasser Arafat ahajafanya chochote, hivyo kwa sababu ya muda unamuucha anataka kutafuta kitu cha kukumbukwa.
Unawaambia warudi wapi? Kawaondoa Israel au anataka watu waende kuuwawa?
Habari kamili ni kuwa waarabu walifukuzwa kwa mtutu wa bunduki kutoka majumbani kwao na hawakuwa na hata nguvu ya kuua hao mayahudi.Elezea walifukuwa kwa sababu gani na ipi haswa ? usilete habari kinyonge... Hao ni Victims wauaji wat wa chuki waliotaka kuua Wayahudi wote ila uimara wa Waisrael hayo maarabu ya Arabian yakashindwa so uwepo wao ni huruma tu ya wayahudi kwani walistahili kumiminiwa shaba hadi kifo.. sasa warudi kupokea hukumu yao au? maana msamaha wao wa kubakiza uhai ilikuwa kuondoka kwa hiari.
Watu wanaficha sana ubaya wa Warabu.. Hata Tanganyika Arbas waliifanya kitu mbaya Tanganyika na Zanzibar..
Arabs Waliwafanyia vibaya sana Coptic wa egypt wakalazimisha hadi lugha ya Taifa iwe Kiarabu.. Waarabu ni Washenzi mno na wanaowatetea ni wapumbavu Bora Trup aliwasema openy these people they don't like us..
Waarabu walimteka Malkia wa Algelia wakambaka na wakawa wanabaka raia wote for free wakahakikisha weusi wanaisha.
Huyo Abbas ana cheza video Game tu ambazo hawezi fika hata stage two.
Kama ardi zote zao wakae huko huko walipo wasije uwawa.Ardhi zote ni zao na hawakufukuzwa zamani sana.Kuna vikongwe mpaka leo wakirudi watafika maeneo yao.
Huyo ni Puppet wa USA na Israel.Mohamoud Abbas anaanza kuzeeka hana jipya tangu achukue PLO kutoka kw aYasser Arafat ahajafanya chochote, hivyo kwa sababu ya muda unamuucha anataka kutafuta kitu cha kukumbukwa.
Unawaambia warudi wapi? Kawaondoa Israel au anataka watu waende kuuwawa?