Wewe ahadi gani walizo tekeleza, ngojea nikukumbushe kama unapoteza akili hukumbuki walicho kiongea.
1 Tutaifuta Hamas, je wameifuta.
2 Hatutaongea na Hamas je vipi hapo.
3 Tutawauwa viongizi wao, sa walio wauwa wangapi? Yahya Sinwar yupo. Mohamad Al Dhaifu yupo na wengi tu bado wapo. Yule Ismail Haniya hawakumuwa wao, inasemekana ni US ndio kamuwa na pili yule ni mtu wa siasa sio askari 😄
4 Tutaiteka Gaza kwa week tatu, mpaa leo hawakuweza kupata ushindi wa military strategy na kusema wataka ile area kiusalama.
We sijui ahadi gani unayo iongelea, ile ya kulilia silaha kaishiwa na kulazimisha wananchi wake waingie jeshini kwa nguvu.