Kumbe hujafuatilia kinachofanyika ukingo wa magharibi.tofauti hakuna na kinachoendelea Gaza.Kwa kiongozi mzuri anayejielewa hawezi kuwatetea magaidi wa Hamas
Huoni walivyokaa kwa amani na Israel bila kushambuliwa
Na yule ni mplastina kabisa achana na wewe mwarabu mweusi wa mchmbawima unatetea magaidi
Stupid
Nenda wewe.Alipokuwa nchini Uturuki wiki iliyopita kiongozi wa mamlaka ya Palestina alihutubia bunge la nchi hiyo na kujigamba kuwa akirudi nyumbani atakwenda Gaza kwani eneo hilo ni sehemu ya Palestina na hatoruhusu litawaliwe na Israel.Wabunge wa bunge walimshangilia sana.
Tangu arudi ni wiki sasa na hakuna taarifa iwapo tayari ameingia eneo hilo kukagua uharibifu uliofanyika.Ahadi yake hii ni sawa na zile zilizotolewa na zinazoendelea kutolewa na wenzake bila vitendo.
Iran ameahidi mengi kuhusiana na Gaza na bado hawajatenda lolote.Uturuki nayo hivi karibuni ilikuja na kauli nzito iliyotoa matumaini kwa wapalestina.Hata Misri nayo imekuwa ikitoa maneno matupu huku wapalestina wakiuliwa upande wa pili tu wa mpaka.
Hayo yakitokea upande wa waliotarajiwa kuwa watetezi wa wanawake na watoto wa Palestina,viongozi wa Marekani wanaendelea kumiminika Israel na kutoa kauli ambazo ni kama kuilinda Israel kwa kuwatisha Hamas na watawala wa mashariki ya kati ili wakubaliane na matakwa ya Israel.
Mnataka Abas afanye nini? Kwanza atapita wapi ili afike Gaza? Yeye yuko West bank labda apite Misri au Jordani, hawezi kuingia Gaza bila kibali cha Israel na ulin
Sawa Mmisri wa Bunyokwa.We unawafahamu wa Misri na wa Jordan wewe kuliko mimi?
Zilaumiwe madrasa kwa kuweka syllabus ya matusi kwenye mafundisho Yao.Matusi ni dalili ya mazingira uliyoyazaliwa yakoje
Sio vinginevyo bali watamuua kweli maana kama wameweza kutengeneza mazingira ya kuua watu zaidi ya 40 sembuse mtu mmoja ambaye ni hasimu wao kisiasa?vinginevyo Hamas watamuua halafu waseme ni Israel, hamas wana hali mbaya
Cha kushangaza pray for Palestine ni nyingiWewe ahadi gani walizo tekeleza, ngojea nikukumbushe kama unapoteza akili hukumbuki walicho kiongea.
1 Tutaifuta Hamas, je wameifuta.
2 Hatutaongea na Hamas je vipi hapo.
3 Tutawauwa viongizi wao, sa walio wauwa wangapi? Yahya Sinwar yupo. Mohamad Al Dhaifu yupo na wengi tu bado wapo. Yule Ismail Haniya hawakumuwa wao, inasemekana ni US ndio kamuwa na pili yule ni mtu wa siasa sio askari 😄
4 Tutaiteka Gaza kwa week tatu, mpaa leo hawakuweza kupata ushindi wa military strategy na kusema wataka ile area kiusalama.
We sijui ahadi gani unayo iongelea, ile ya kulilia silaha kaishiwa na kulazimisha wananchi wake waingie jeshini kwa nguvu.
anaijua hiyooAlipokuwa nchini Uturuki wiki iliyopita kiongozi wa mamlaka ya Palestina alihutubia bunge la nchi hiyo na kujigamba kuwa akirudi nyumbani atakwenda Gaza kwani eneo hilo ni sehemu ya Palestina na hatoruhusu litawaliwe na Israel.Wabunge wa bunge walimshangilia sana.
Tangu arudi ni wiki sasa na hakuna taarifa iwapo tayari ameingia eneo hilo kukagua uharibifu uliofanyika.Ahadi yake hii ni sawa na zile zilizotolewa na zinazoendelea kutolewa na wenzake bila vitendo.
Iran ameahidi mengi kuhusiana na Gaza na bado hawajatenda lolote.Uturuki nayo hivi karibuni ilikuja na kauli nzito iliyotoa matumaini kwa wapalestina.Hata Misri nayo imekuwa ikitoa maneno matupu huku wapalestina wakiuliwa upande wa pili tu wa mpaka.
Hayo yakitokea upande wa waliotarajiwa kuwa watetezi wa wanawake na watoto wa Palestina,viongozi wa Marekani wanaendelea kumiminika Israel na kutoa kauli ambazo ni kama kuilinda Israel kwa kuwatisha Hamas na watawala wa mashariki ya kati ili wakubaliane na matakwa ya Israel.
Iran na Uturuki ni wapumbav wanaitumia hii vita kushinda ya kiuchumi pale mashariki ya kati , wanajuwa kuiacha Israel bila Vita basi itachukua miaka michache sana Israel kuwa superpower wa ukanda huo , hivyo wanachochea vita dhidi ya Israel ili Israel awe busy kupambana na sio kujenga uchumi .Alipokuwa nchini Uturuki wiki iliyopita kiongozi wa mamlaka ya Palestina alihutubia bunge la nchi hiyo na kujigamba kuwa akirudi nyumbani atakwenda Gaza kwani eneo hilo ni sehemu ya Palestina na hatoruhusu litawaliwe na Israel.Wabunge wa bunge walimshangilia sana.
Tangu arudi ni wiki sasa na hakuna taarifa iwapo tayari ameingia eneo hilo kukagua uharibifu uliofanyika.Ahadi yake hii ni sawa na zile zilizotolewa na zinazoendelea kutolewa na wenzake bila vitendo.
Iran ameahidi mengi kuhusiana na Gaza na bado hawajatenda lolote.Uturuki nayo hivi karibuni ilikuja na kauli nzito iliyotoa matumaini kwa wapalestina.Hata Misri nayo imekuwa ikitoa maneno matupu huku wapalestina wakiuliwa upande wa pili tu wa mpaka.
Hayo yakitokea upande wa waliotarajiwa kuwa watetezi wa wanawake na watoto wa Palestina,viongozi wa Marekani wanaendelea kumiminika Israel na kutoa kauli ambazo ni kama kuilinda Israel kwa kuwatisha Hamas na watawala wa mashariki ya kati ili wakubaliane na matakwa ya Israel.
Gaidi Nani mkuu amka ebuKwa kiongozi mzuri anayejielewa hawezi kuwatetea magaidi wa Hamas
Huoni walivyokaa kwa amani na Israel bila kushambuliwa
Na yule ni mplastina kabisa achana na wewe mwarabu mweusi wa mchmbawima unatetea magaidi
Stupid
head to head kipo vizuri sana. tushukuru hujuma za marekani kipindi kimerudiUkiangalia Al Jazeera dah jamaa no pro hamas hatari kwenye head to head ya Hassan Leo kakutana na prof myahudi Hassani hajafurukuta leo
Hamas wanamchapa Israel kila kukicha, hao wanao imba nyimbo kitu gani walicho msaidia Hamas? Au Israel waliwacha kuwauwa civilian.Cha kushangaza pray for Palestine ni nyingi
Sidhani kama Kuna kipindi kingine kizuri Cha mahojiano kama kile kwa Sasahead to head kipo vizuri sana. tushukuru hujuma za marekani kipindi kimerudi
Duhhhh!! Noumaaa nanusuuuu
mehdi hasan hapa bongo tukimkodi hata kwa miezi miwili tu. sekta yetu ya wanahabari itabadilikaSidhani kama Kuna kipindi kingine kizuri Cha mahojiano kama kile kwa Sasa
Hivi hao bikira 72 ni wamataifa mbali mbali? Yaani na wachina wamo? Wajaluo? Wakongo?Mnataka Abas afanye nini? Kwanza atapita wapi ili afike Gaza? Yeye yuko West bank labda apite Misri au Jordani, hawezi kuingia Gaza bila kibali cha Israel na ulinzi wa Israel vinginevyo Hamas watamuua halafu waseme ni Israel, hamas wana hali mbaya sana hawana cha kupoteza, wamepigika vya kutosha, faraja yao imebaki ya kiroho kwa Allah na kupewa bikira 72 endapo watakufa, ili katika ulimwengu wa kimwili wameshapoteza matumaini.
Pengo katika uwezo wa kijeshi wa Israel na Hamas sasa limepungua sana baada ya Hamas bila silaha kuweza kupigana na Israel karibia mwaka sasa.Iran na Uturuki ni wapumbav wanaitumia hii vita kushinda ya kiuchumi pale mashariki ya kati , wanajuwa kuiacha Israel bila Vita basi itachukua miaka michache sana Israel kuwa superpower wa ukanda huo , hivyo wanachochea vita dhidi ya Israel ili Israel awe busy kupambana na sio kujenga uchumi .
Wanaoumia ni wapalestina , wayemen , walebanon na wasyria wasio na hatia wala hawatanufaika na ukuaji uchumi wa hao Iran na Qatar na Uturuki.
Ifike muda waislam waanze kutumia akili na sio mihemko , wanapigana vita ya kushinda nini ? kila mmoja alipewa eneo na wakataka kupora eneo walilopewa wayadui ilawakaishia kupoteza eneo lao ila bado wanatumia njia ile ile ya silaha kufikia malengo yao.
Njia ya silaha utumika iwapo mnalingana uwezo au amekuzid kidgo tu kijeshi na sio utofaut wa Israel Gaza kijeshi ni mkubwa sana na ndo inaishia Kuonekana Israel anawaonea Gaza ila kosa ni la Hamas kuependelea vita na sio makubaliano kufikia malengo
Sijawahi ona Like yako mbona 😀Mara ya kwanza umeongea kwa akili.