Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
- Thread starter
- #21
Mgombea huru..!Iko vile bandugu !
Lakini sio kwamba wanajitenga na siasa bali hawapewi nafasi na wenye Chama !
Alisikika Mzee mmoja akisema wenye Chama wameamua iwe hivyo 😳😅😂 !
Sasa hiyo mambo iko vile na ndio maana unaona mpaka kwenye Katiba vinawekwa vipengele vya kuwazuia wenye Akili kubwa wasipate nafasi siasani !
Eti ili uweze kugombea URais au Ubunge au Udiwani au chochote kile ni lazima uwemo kwenye Chama cha siasa 😳😳🙄🙄 !
Ili wakudhibiti humo 👨💻 !!