Iko vile bandugu !
Lakini sio kwamba wanajitenga na siasa bali hawapewi nafasi na wenye Chama !
Alisikika Mzee mmoja akisema wenye Chama wameamua iwe hivyo π³π
π !
Sasa hiyo mambo iko vile na ndio maana unaona mpaka kwenye Katiba vinawekwa vipengele vya kuwazuia wenye Akili kubwa wasipate nafasi siasani !
Eti ili uweze kugombea URais au Ubunge au Udiwani au chochote kile ni lazima uwemo kwenye Chama cha siasa π³π³ππ !
Ili wakudhibiti humo π¨βπ» !!