IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Hata mimi aisee, mpaka niliutumia kwenye harusi yangu - the best kwa kweli.Ni moja ya nyimbo nazozipenda japo hakuna wa kumpa hilo dedication.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi aisee, mpaka niliutumia kwenye harusi yangu - the best kwa kweli.Ni moja ya nyimbo nazozipenda japo hakuna wa kumpa hilo dedication.
Hapo kwa red ufafanuzi tafadhari ......................... na ili uwe mwanamuziki uweje ????Kwenye Sanaa Kuna mambo mengi sana kwahiyo katika Sanaa utapata wanamuziki na pia utapata Wasanii wa fani mbalimbali,Kuna baadhi ya Wasanii pia wanaimba,kwahiyo sio kila msanii anayeimba ni mwanamziki.....Bob Rudala,Bana Zorro,Barnaba etc ni wanamuziki kina Shetta,Rich Mavoko,Bonge la Nyau,Harmonize ni Wasanii waimbaji.
Ahahahaa, ngoja niipokee japo kwa shingo upandepokea pole ya mrembo Sara bana
Imenibidi nidownload huu wimboHata mimi aisee, mpaka niliutumia kwenye harusi yangu - the best kwa kweli.
Nikamweleza wangu ukweli ya kua nimempenda yeye Jully nae akanijibu kwa kusema asante kwa kunipendaa aaah!!!!mwenzenu nimekumbwa na kimbunga si kimbunga cha upepoooo bali ni kimbunga cha mapenzi toka siku niliyokutana JULLY bob rudala
Nishaeleza hapo juu,wewe muangalie Banana Zorro(Mwanamziki) Kisha mlinganishe na Rich Mavoko(Msanii) utapata tofauti ya mwanamziki na msanii.Hapo kwa red ufafanuzi tafadhari ......................... na ili uwe mwanamuziki uweje ????
Ok una maanisha kuimba na bendi si ndio Savimbi Jr ?????????Nishaeleza hapo juu,wewe muangalie Banana Zorro(Mwanamziki) Kisha mlinganishe na Rich Mavoko(Msanii) utapata tofauti ya mwanamziki na msanii.
Hapana,hata Lady JD anaimba na Bendi lakini si mwanamziki.Ok una maanisha kuimba na bendi si ndio Savimbi Jr ?????????
Si bure ulishanusa kamtego kangu hongera kwa kuniponyoka.Hapana,hata Lady JD anaimba na Bendi lakini si mwanamziki.
Arithishe kipaji na uzoefu wake kwa chipukiziBob ni.level nyingine
mkuu ebu acha kujichanganya!ebu zitaje tanzu za sanaa hapa...halafu tuone hao unaowaita wasanii watadondokea wapi...na kumbuka kuwa neno msanii linatokana na neno "sanaa/art".Hapana,hata Lady JD anaimba na Bendi lakini si mwanamziki.
mkuu ebu acha kujichanganya!ebu zitaje tanzu za sanaa hapa...halafu tuone hao unaowaita wasanii watadondokea wapi...na kumbuka kuwa neno msanii linatokana na neno "sanaa/art".
maana umekuwa ukiishpalia sana hii kauli bila kutoa maelezo ya kisomi.
usipoleNshapewa pole mpk nkaota sugu
Bob Rudala ni mwanamziki,Banana ni mwanamziki,Bizman ni mwanamziki,Barnaba ni mwanamziki etc wengine wengi ni Wasanii.