Mahojiano na Bob Rudala

Mahojiano na Bob Rudala

Kwenye Sanaa Kuna mambo mengi sana kwahiyo katika Sanaa utapata wanamuziki na pia utapata Wasanii wa fani mbalimbali,Kuna baadhi ya Wasanii pia wanaimba,kwahiyo sio kila msanii anayeimba ni mwanamziki.....Bob Rudala,Bana Zorro,Barnaba etc ni wanamuziki kina Shetta,Rich Mavoko,Bonge la Nyau,Harmonize ni Wasanii waimbaji.
Hapo kwa red ufafanuzi tafadhari ......................... na ili uwe mwanamuziki uweje ????
 
Kile kibao cha Julie kinanikosha sana haipiti siku bila kuisikiliza ile nyimbo

Na kila nimwonapo Julie moyo wangu,unaenda mbio maungo hunilegea mwenzenu nateseekaaa..........
 
mwenzenu nimekumbwa na kimbunga si kimbunga cha upepoooo bali ni kimbunga cha mapenzi toka siku niliyokutana JULLY bob rudala
 
Nik
mwenzenu nimekumbwa na kimbunga si kimbunga cha upepoooo bali ni kimbunga cha mapenzi toka siku niliyokutana JULLY bob rudala
Nikamweleza wangu ukweli ya kua nimempenda yeye Jully nae akanijibu kwa kusema asante kwa kunipendaa aaah!!!!
Sasa muda umepita mie mwenzenu majibu sipati.......
 
Hapo kwa red ufafanuzi tafadhari ......................... na ili uwe mwanamuziki uweje ????
Nishaeleza hapo juu,wewe muangalie Banana Zorro(Mwanamziki) Kisha mlinganishe na Rich Mavoko(Msanii) utapata tofauti ya mwanamziki na msanii.
 
Hapana,hata Lady JD anaimba na Bendi lakini si mwanamziki.
mkuu ebu acha kujichanganya!ebu zitaje tanzu za sanaa hapa...halafu tuone hao unaowaita wasanii watadondokea wapi...na kumbuka kuwa neno msanii linatokana na neno "sanaa/art".
maana umekuwa ukiishpalia sana hii kauli bila kutoa maelezo ya kisomi.
 
All bases are not alkali but all the alkali are
bases.
 
Back
Top Bottom