Mahojiano na Bob Rudala

Hapo kwa red ufafanuzi tafadhari ......................... na ili uwe mwanamuziki uweje ????
 
Kile kibao cha Julie kinanikosha sana haipiti siku bila kuisikiliza ile nyimbo

Na kila nimwonapo Julie moyo wangu,unaenda mbio maungo hunilegea mwenzenu nateseekaaa..........
 
mwenzenu nimekumbwa na kimbunga si kimbunga cha upepoooo bali ni kimbunga cha mapenzi toka siku niliyokutana JULLY bob rudala
 
Nik
mwenzenu nimekumbwa na kimbunga si kimbunga cha upepoooo bali ni kimbunga cha mapenzi toka siku niliyokutana JULLY bob rudala
Nikamweleza wangu ukweli ya kua nimempenda yeye Jully nae akanijibu kwa kusema asante kwa kunipendaa aaah!!!!
Sasa muda umepita mie mwenzenu majibu sipati.......
 
Hapo kwa red ufafanuzi tafadhari ......................... na ili uwe mwanamuziki uweje ????
Nishaeleza hapo juu,wewe muangalie Banana Zorro(Mwanamziki) Kisha mlinganishe na Rich Mavoko(Msanii) utapata tofauti ya mwanamziki na msanii.
 
Hapana,hata Lady JD anaimba na Bendi lakini si mwanamziki.
mkuu ebu acha kujichanganya!ebu zitaje tanzu za sanaa hapa...halafu tuone hao unaowaita wasanii watadondokea wapi...na kumbuka kuwa neno msanii linatokana na neno "sanaa/art".
maana umekuwa ukiishpalia sana hii kauli bila kutoa maelezo ya kisomi.
 
All bases are not alkali but all the alkali are
bases.
 
Huyu jamaa ana ngoma inaitwa JULIE kali sans!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…