Mahojiano na Bob Rudala

Yuko kitaa gani Oz? Sijajua kama kuna band ya memba toka Tz wanaofanya vituzzz
 
Bob, endelea kuitangaza Tanzania kwa umahiri wako katika uimbaji mzuri.
 
Ni wimbo mzuri sana. Ila wengi hawajui kama amebadilisha mashairi tu, original yake
kama sikosei ni zimbabwe kuna filamu moja ya zamani kidogo niliiona kuna soundtrack
ya wimbo ambao bob ameuiga.
asante...lakini ni wimbo mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…