Mahojiano na Dar24: Dkt. Slaa adai alikuwa akifukuza kama MBWA ma-OCD walioingilia mikutano ya ndani ya Mbunge

Mahojiano na Dar24: Dkt. Slaa adai alikuwa akifukuza kama MBWA ma-OCD walioingilia mikutano ya ndani ya Mbunge

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
Kweli Dr.Slaa alikuwa kiboko.

Lakini sidhani kama angeweza kufanya hivyo kwa Ma-OCD wa IGP Sirro.

Dkt. Slaa anadai Polisi waliofika kwenye mikutano yake aliwahoji, " kifungu gani kimekuruhusu kuja kwenye mkutano wangu wa ndani...ondoka wewe MBWA.."🤣

Ili nisimuwekee maneno Dr.Slaa naomba msikilize toka dakika ya 16:00

 
Kama ni kweli anachokiongea, huo ujasiri wake ulikuja kuishia wapi mpaka akawekwa mfukoni na serikali ya CCM?

Dr. Slaa ananishangaza alipoulizwa kuhusu utawala wa Magufuli kukandamiza haki za vyama vya siasa, anajibu kila kiongozi anapoingia madarakani anakuwa na "priorities" zake.

Hii maana yake anakubali hizo "priorities" zinaweza kuvunja sheria za nchi, inawezekana anajibu hivyo kwasababu hakuwa kwenye active politics, hivyo ule uamuzi haukumbana yeye binafsi ndio maana, yeye aliambulia ubalozi wa Canada.
 
Back
Top Bottom