Kama ni kweli anachokiongea, huo ujasiri wake ulikuja kuishia wapi mpaka akawekwa mfukoni na serikali ya CCM?
Dr. Slaa ananishangaza alipoulizwa kuhusu utawala wa Magufuli kukandamiza haki za vyama vya siasa, anajibu kila kiongozi anapoingia madarakani anakuwa na "priorities" zake.
Hii maana yake anakubali hizo "priorities" zinaweza kuvunja sheria za nchi, inawezekana anajibu hivyo kwasababu hakuwa kwenye active politics, hivyo ule uamuzi haukumbana yeye binafsi ndio maana, yeye aliambulia ubalozi wa Canada.